Kiongozi wa Hezbollah asema Serikali ya Lebanon inapaswa kufanya zaidi kukomesha mashambulizi ya Israel

ILAN RAMON

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
10,292
Reaction score
4,976
Kiongozi wa Hezbollah asema Serikali ya Lebanon inapaswa kufanya zaidi kukomesha mashambulizi ya Israel

Kiongozi wa Hezbollah, Naim Qassem, ameitaka serikali ya Lebanon kuchukua hatua zaidi kukomesha mashambulizi ya kila siku ya Israel nchini humo. Haya yamekuja siku moja baada ya shambulio la anga la Israel kulenga maeneo ya kusini mwa mji mkuu Beirut kwa mara ya tatu tangu makubaliano ya kusitisha mapigano yalipofikiwa mwishoni mwa Novemba mwaka jana.

Qassem alisema katika hotuba ya televisheni siku ya Jumatatu kuwa Hezbollah imetekeleza kwa uaminifu makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyomaliza vita vya miezi 14, lakini Israel imeendelea kufanya mashambulizi ya anga bila kukoma.
===================

Hezbollah leader says Lebanese gov’t must do more to end Israeli attacks

Hezbollah leader Naim Qassem has called on Lebanon’s government to work harder to end Israel’s daily attacks in the country, a day after an Israeli air strike targeted the southern suburbs of the capital Beirut for the third time since a ceasefire was agreed late last November.

Qassem said in a televised speech on Monday that Hezbollah implemented the ceasefire deal that ended the 14-month war, but Israel has continued to launch relentless air strikes.

Source: Al Jazeera

Shared via the Google App
 
Gpym6DUXcAAWW09.jpg
 
kwani Hezbollah siwaliingilia ugomvi wa Israel na magaidi wa Hamas na wakaanza kurusha maroketi wakasema wataacha mpaka Israel isitishe vita Gaza Leo wanalia nini?
 
Hawa wahuni tulijua tu mwisho wao utakuwa mbaya...bado wahuni wezao Hamas.
Sasa ww ujaelewa nn apo mkataba wa Aman ni Serikali ndio imefunga kwaniaba yao !!!!

na kutokana na Shinikizo kutoka kwao Serikali sasa niwao ndio waongee na Israel waache uchoko !!

la sivyo wakiingia tena ulingoni awataki kuzuiwa na mtu au Serikali mana yamewashinda,,,
 
Kiongozi wa Hezbollah asema Serikali ya Lebanon inapaswa kufanya zaidi kukomesha mashambulizi ya Israel

Kiongozi wa Hezbollah, Naim Qassem, ameitaka serikali ya Lebanon kuchukua hatua zaidi kukomesha mashambulizi ya kila siku ya Israel nchini humo. Haya yamekuja siku moja baada ya shambulio la anga la Israel kulenga maeneo ya kusini mwa mji mkuu Beirut kwa mara ya tatu tangu makubaliano ya kusitisha mapigano yalipofikiwa mwishoni mwa Novemba mwaka jana.

Qassem alisema katika hotuba ya televisheni siku ya Jumatatu kuwa Hezbollah imetekeleza kwa uaminifu makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyomaliza vita vya miezi 14, lakini Israel imeendelea kufanya mashambulizi ya anga bila kukoma.
===================

Hezbollah leader says Lebanese gov’t must do more to end Israeli attacks

Hezbollah leader Naim Qassem has called on Lebanon’s government to work harder to end Israel’s daily attacks in the country, a day after an Israeli air strike targeted the southern suburbs of the capital Beirut for the third time since a ceasefire was agreed late last November.

Qassem said in a televised speech on Monday that Hezbollah implemented the ceasefire deal that ended the 14-month war, but Israel has continued to launch relentless air strikes.

Source: Al Jazeera
Hezbollah leader says Lebanese gov’t must do more to end Israeli attacks

Shared via the Google App
Aseme anaishi sehemu gani Lebanon tukamtembelee
 
Sasa ww ujaelewa nn apo mkataba wa Aman ni Serikali ndio imefunga kwaniaba yao !!!!

na kutokana na Shinikizo kutoka kwao Serikali sasa niwao ndio waongee na Israel waache uchoko !!

la sivyo wakiingia tena ulingoni awataki kuzuiwa na mtu au Serikali mana yamewashinda,,,
Aaaaiisee! Kuwa muislam raha sana
 
Wewe mwenyewe jichunguze Tangu umeanza kuchapa adi leo Mabint wamefika wangapi !!!!!! SO Mungu aliekuumba kwann asijue matananio yako ndio mana utapewa 72 punguza kujiuliza uliza MUNGU awezi kuwa Mzungu tupa kuleee.
 
Sasa ww ujaelewa nn apo mkataba wa Aman ni Serikali ndio imefunga kwaniaba yao !!!!

na kutokana na Shinikizo kutoka kwao Serikali sasa niwao ndio waongee na Israel waache uchoko !!

la sivyo wakiingia tena ulingoni awataki kuzuiwa na mtu au Serikali mana yamewashinda,,,
Kwani wakat wanarusha makombora mwanzon walishauriana na serekali ya lebanono? Mie naona kama vip wakiamshe tuu waanze kurusha makombora bila kukoma.alafu kifatacho ITV tutasimiliwa Echolima1 au bwana Webabu nk
 
Back
Top Bottom