FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
Kiongozi wa Al-Qaeda katika Rasi ya Uarabuni AQAP ameuawa na vikosi vya Jeshi la Marekani. Rais wa Marekani Donald Trump amethibitisha.
Qasim al-Raymi, ambaye ameongoza kundi hilo tangu mwaka 2015, ameuawa katika operesheni ya kijeshi ya Marekani huko Yemen, Ikulu ya White House imeeleza.
Alichukua madaraka ya uongozi wa kundi hilo baada ya mtangulizi wake kuuawa katika shambulizi la Marekani la ndege isiyo na rubani.
"Chini ya Raymi, AQAP ilifanya unyanyasaji dhidi ya raia nchini Yemen na ilitaka kufanya na kuhamasisha mashambulio kadhaa dhidi ya Marekani na majeshi yetu," Trump alisema katika taarifa yake.
"Kifo chake kinazidi kuidhoofisha zaidi AQAP na harakati za kimataifa za Al-Qaeda, na kinatuleta karibu zaidi kuondoa vitisho ambavyo vikundi hivi vimekuwa vikileta kutishia usalama wa taifa letu," Rais Trump alisema.
Kundi hilo la AQAP liliundwa mwaka 2009 kutokana na matawi mawili ya Al-Qaeda nchini Yemeni na Sausi Arabia, ikiwa na nia ya kuangusha tawala za serikali zinazoungwa mkono na Marekani na kuondoa ushawishi wa nchi za Magharibi kwenye ukanda huo.
Tetesi kuhusu kifo cha al- Raymi kwa shambulizi la Marekani zilianza kusambaa mwishoni mwa mwezi Januari. Katika kujibu hilo kundi hilo lilitoa ujumbe wa sauti ukiwa na sauti ya al -Raymi tarehe 2 mwezi Februari ukisema kuwa wao ndio waliotekeleza shambulio la risasi kwenye kambi ya jesho la wana maji wa Marekani huko Pensacola, Florida.
Shambulio hilo lilifanyika mwezi Desemba, na ujumbe huo huenda ulirekodiwa mapema.
Taarifa kutoka Ikulu ya Marekani sasa imethibitisha kifo cha al-Raymi lakini haijasema aliuawa lini.
====
US has killed leader of jihadist al-Qaeda group in Yemen, Donald Trump confirms
The United States has killed the leader of Al-Qaeda in the Arabian Peninsula (AQAP), President Donald Trump said.
Qasim al-Raymi, who has led the jihadist group since 2015, was killed in a US operation in Yemen, the White House said.
The jihadist leader had been linked to a series of attacks on Western interests in the 2000s.
He took over the leadership after his predecessor was killed by a US drone strike.
AQAP was formed in 2009 from two regional offshoots of Al-Qaeda in Yemen in Saudi Arabia, with the goal of toppling US-backed governments and eliminating all Western influence in the region. It has had most of its success in Yemen, prospering in the political instability that has plagued the country for years.
Rumours of al-Raymi's death in a US drone strike began circulating in late January. In response, AQAP released an audio message with al-Raymi's voice on 2 February, which may have been recorded earlier.
But the statement from the White House has now confirmed al-Raymi's death but did not say when he was killed.
"His death further degrades AQAP and the global al-Qa'ida movement, and it brings us closer to eliminating the threats these groups pose to our national security," the statement read.
"The United States, our interests, and our allies are safer as a result of his death."
Source: BBC
=====
U.S. kills al Qaeda in Arabian Peninsula leader in Yemen -Trump
WASHINGTON - President Donald Trump said on Thursday the United States had killed Qassim al-Raymi, the leader of Islamist group al Qaeda in the Arabian Peninsula (AQAP), in a counterterrorism operation in Yemen.
“Under Rimi, AQAP committed unconscionable violence against civilians in Yemen and sought to conduct and inspire numerous attacks against the United States and our forces,” Trump said in a statement.
“His death further degrades AQAP and the global al-Qa’ida movement, and it brings us closer to eliminating the threats these groups pose to our national security,” the president said. He did not say when Raymi was killed.
The United States regards AQAP as one of the deadliest branches of the al Qaeda network founded by Osama bin Laden.
Reports in Yemen have suggested in recent days that Raymi had been killed in a drone strike in Marib. Reuters was unable to verify the reports.
One Yemeni government official told Reuters there had been a drone strike in Marib but it was not Raymi who had been killed.
Source: Reuters

- Qasim al-Raymi was chief of al-Qaeda in the Arabian Peninsula