Kiongozi wa juu wa Al-Qaeda huko Yemen, Qassim al-Raymi auawa na Marekani

FRANC THE GREAT,
USA ipo kwa mpango wa Mungu just imagine Iran ingekuwa superpower ingekuwaje? USA hawataki mtu aonewe ndomana hata huku bongo bashite kapigwa ban kwenda huko much love USA bila kuwasahau jamaa zetu Israel

Yaaani we acha tu. Yaani waarabu wangekuwa na nguvu sijui ingekuwaje. Marekani endelea kuwanyoosha hawa makafiri wanaojiita. Na wanatuita sisi makafiri wakayi wao ndio makafiri.
Ahsantee Mungu kwa kuiinua marekani


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 

Subiri siku dada yako au mama yako akiambia asali kwa lugha ya waarabu akishindwa achinjwe ndipo utajua kwanini hawa magahaidi hawastahili kuishi. Kama yeye ameua mamia, kumuua yeye mmoja si kitu na haiumi. Marekani tawala milele na shughulika na hawa Mbwaa wa kiarabu.


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Unajua kusoma kwa ufahamu?

Umesoma nikichoandika? Au umejibu kwa pupa tu kabla ya kumaliza kusoma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
" disturb the pond and fish the way you want"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna haja ya kusoma habari nzima kama aya za awali umepuyanga.! Unatetea wanaojitoa mhanga.!


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
Wewe huelewi kitu kinaitwa "immanent critique".

Huna ubongo wala uti wa mgongo, kama guluguja, ndiyo maana hujui kusoma kwa ufahamu.

Sasa Hegelian dialectic utaielewa vipi? Huwezi kuielewa.

Na kwa hivyo, kuelewana nami itakuwa vigumu.
 
Kiranga nimependa jinsi usivyopenda kuona danu inamwagika, una roho kama ya Henoko tunayemsoma katika kitabu cha Mwanzo ktk biblia.
Lakini kuna wakatikuua ni kuokoa wengi.
Al-qaeda huwa hawakusudii kuua mtu mmoja, wao wangeweza hata wangeiteketeza Marekani kwa kisingizio cha imani tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo maana nikasema ikithibitika mtu ni Al-Qaeda, sina huruma naye.

Wasiojua kusoma hawajaweza kusoma hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makanisa yangechomwa moto, mapadri na wachungaji wangeuwawa au kuslimu. Ikifika Ramadhani wote mfunge, kila sehemu ungesikia wakristo au wapagani wameuwawa. Mwaarabu ni mtu mbaya sana. Wameharibu miji yao kwa ujinga wao. Middle East imebaki magofu kwa minajiri ya kukatana na mabikira 72. Zenji wameshaharibiwa na Mwaarabu, ikifika mfungo wa Ramadhan sharti watu wasipike au kula hadharani.
FRANC THE GREAT,
USA ipo kwa mpango wa Mungu just imagine Iran ingekuwa superpower ingekuwaje? USA hawataki mtu aonewe ndomana hata huku bongo bashite kapigwa ban kwenda huko much love USA bila kuwasahau jamaa zetu Israel
 
bwana uchungu mwarabu wa matombo naye kauwawa au?
Maana leo hasikiki kabisa kuwatetea waarabu wanaomwona ni kibwengo[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha kushangaza waarabu wenye itikadi kali za dini ndiyo wanatumika kama condom. Kifo ndiyo njia rahisi ya kukutana na mabikira 72

Kama kondom tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

This is a kind of stuff I signed up for.!

Binafs naamini kuwa, mtu akiua dawa yake ni kumuua tu, hakuna haja ya sheria hapo. Sasa hao maghaidi, dawa yao ni kuwatungua tu kama vile mzee mkubwa @RealDonaldTrump anavyo watafuna mdogo mdogo kwa kubofya tu ile Red botton




Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Ishiii eti rais wangu.. [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…