PostGE2025 Kiongozi wa machinga Simu 2000 alitekwa Nov 27, 2025 na watu waliojitambulisha ni Jeshi la Polisi

PostGE2025 Kiongozi wa machinga Simu 2000 alitekwa Nov 27, 2025 na watu waliojitambulisha ni Jeshi la Polisi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Mussa Ndile CHEO: Kiongozi wa machinga Simu 2000 Alitekwa tarehe 27.11.2025 na watu waliojitambulisha ni jeshi la Polisi, ndugu wamemtafuta vituo vote vya Polisi hawajampata.

 
Sababu ya kutekwa ndiyo hiyo ya kuwatetea wananchi wanyonge?
 
Back
Top Bottom