happiness win
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 2,461
- 1,392
Jamani this is VERY SERIOUS NEWS nimepigiwa simu sasa hivi na watu wa legal and human rights center wameniambia wametoka kumchukua Dr Ulimboka kule mwabepande amepigwa vibaya sana na ni emergency wanampeleka MOI sasa hivi please tunaomba mtume habari hii kila mahali please!
Na kama kuna anayeweza kusogea eneo la MOI kwa ajili ya kutoa msaada please leave whatever you are doing tukutane pale.
Ni habari ya uhakika sana nimepigiwa simu na Patience Mlowe wa Legal and Human Rights center.
This is real bad
All except a devilish like you will not. Shame on you.Who Cares?
labda waliomteka ni watu waliopatwa na misiba kutokana na migomo inayoongozwa na huyu kiongozi
E Mungu sikia kuomba kwetu