Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Wakafunge na zile hospital zao za PRIVATE. Na kule PART TIME wasiende.

Pamoja na kwamba mnadai haki zenu jaribuni kuwafikiria na wengine hasa walalahoi ambao hawajui hata wafanye nini, waende wapi au wale nini leo! Mnadai haki kwa kupoteza roho zisizo na hatia???!!! Msiifanye migumu mioyo yenu, mwangalieni Mungu anayetoa uhai, jua na mvua bure kwa wote.
 
Sawa lakini pia umeona hapa chini Ibara ya 30(1) ya Katiba yetu inavyosema

30 -(1) Haki na uhuru wa binadamu ambavyo misingi yake imeorodheshwa katika Katiba hii havitatumiwa na mtu mmoja kwa maana ambayo itasababisha kuingiliwa kati au kukatizwa kwa haki na uhuru wa watu wengine au maslahi ya umma.


Usiangalie upande mmoja tu wewe!
 
Jamani this is VERY SERIOUS NEWS nimepigiwa simu sasa hivi na watu wa legal and human rights center wameniambia wametoka kumchukua Dr Ulimboka kule mwabepande amepigwa vibaya sana na ni emergency wanampeleka MOI sasa hivi please tunaomba mtume habari hii kila mahali please!
Na kama kuna anayeweza kusogea eneo la MOI kwa ajili ya kutoa msaada please leave whatever you are doing tukutane pale.

Ni habari ya uhakika sana nimepigiwa simu na Patience Mlowe wa Legal and Human Rights center.
This is real bad

Hii ni mizimu ya wale waliokufa mapokezi kwa kukosa huduma katika mgomo uliopita itawaandama mpaka makaburini wakatili sana nyinyi
 
serikali bungeni kupitia waziri mkuu imeahidi kutoa kauli kesho kuhusu mgomo. Ila alisema liwalo na liwe.
 
labda waliomteka ni watu waliopatwa na misiba kutokana na migomo inayoongozwa na huyu kiongozi
 
me nilijua watagoma kumtibu na mshkaji.....GET WELL SOON tuendeleze mapambano
 
sikumuelewa leo PM alipotamka vile "kama wswahili wasemavyo liwalo na liwe" sijui alimaanisha nini???natafakari
 
Kama ni kweli basi serikali ndo itazidi kuchochea mgomo
 
There are currently 1123 users browsing this thread. (242 members and 881 guests)
 
madhara ya mgomo wa madaktari ni makubwa sana kwa taifa letu.tusishabikie mgomo
 
Back
Top Bottom