Hapa tunapofikia na swala la Ulimboka si sawa kabisa! Nalaani kupigwa kwake, nalaaani kutekwa kwake! Lakini nalaani ziadi juhudi za kulifanya swala hili ni la kisiasa!! Watu naona kwenye thread kadhaa wanadai wenye silaha ni TISS na Polisi pekeake, hivi huu nao unataka kuitwa ukweli?? wale majambazi nao ni tiss na polisi?
hizi sasa ni siasa za maji taka kwa jambo sensitive kama hili
WaTanzania kote nchini sasa tunasema tena kwa sauti kwamba waliomteka Dr Ulimboka WAMWACHIE MARA MOJA na akiwa hana jeraha lolote lile!
Hili lisipotekelezwa kwa haraka basi huenda kukafuatia mgomo mkubwa zaidi wa sehemu kubwa zaidi ya wananchi kila kona ya nchi wakati wowote tangu sasa!
Huu ni upumbavu wa viongozi wetu...wanataka sana madaktari waonekane ni watu wabaya kwa kutaka maslahi zaidi wakati kuna issue muhimu kabisa ya ubora wa huduma za afya inayowakimbiza wenyewe kila siku India. Kwenye katiba mpya ni lazima watu tuliangalie hili...kama kiongozi akitaka kutibiwa nje ni lazima atumie hela zake mweyewe...hii itasaidia kuwarudisha kwenye reality hawa mamburukenge....Ukishindwa kuelewa kauli rahisi na ya wazi km hiyo uanweza kuelewa kauli tata? Alichomaanisha ni kuwa Wamejitahidi kuwadekeza kwa kadri ya uwezo wao lakini inavyoonekana wanayonena si yaliyo moyoni mwao, na yaliyo moyoni mwao hawayaneni kwa vinywa vyao! Km shida kila fani katika utumishi wa umma zimo, na kuwa waganga hawawezi kuishi in isolation na wakawa salama...wanawahitaji wengine wa fani tofauti...na hao pia wanastahili ahueni katika kutimiza majukumu yao, kwa kugawana equitably keki ya taifa.
We punguani nlichosoma mimi kinahitaji akili mara kumi ya akili inayohitajika huko medicine(what i earn in a month ..hao Madoctor inawihataji 1 year and a Half kufikia)...Unawaita madaktari.....halafu unawaita Vilaza...
wewe ndo kilaza........kama vipi ungesoma MD basi kama una kichwa!!
mambwiga wengine bana!!!
Atawafahamu ?, maana hizi ni proffesion za watu !! wanaweza kuwa ni watu ambao tangu azaliwe hajawahi kukutana na hatakutana nao maishani, katika issue kama hizo watu wanatolewa nje ya nchi au wanafunika nyuso zao.
Determine ONDOA HIYO SIGNATURE YAKOkwa hiyo serikali nao hawaziamini mahakama zetu!? si tulisikia wamefungua kesi sasa wanawateka wanini?
Serikali inapochoka kushughulikia matatizo ya wananchi wake na ikatukuza ufisadi, humuoana kila mwananchi/raia mpenda haki na ukweli kuwa ni adui mkubwa, hasa anapojitokeza kudai haki na kueleza ukweli. Madai ya madaktari ni mapana na yanagusa ustawi wa jamii. kwa mfano wanaposema vitendea kazi havipo, je ni kosa? mbona wao matumbo yakiunguruma tu, tunawasikia INdia. Hoja kwamba serikali haina pesa ni uongo wa mchana kweupe. Tujiulize serikali isiyo na pesa inakuaje na mabilioni ya pesa benki za nje kama uswisi n.k, serikali isiyo na pesa inakuaje ripoti ya CAG ionyeshe mabilioni ya pesa yakiwa yamepotea/yameliwa na taasisi moja tu/mtu mmoja,serikali isiyo na pesa inakuaje viongozi wake kila kukicha kiguru na njia kwenda ng`ambo kwa kisingizio cha kuona utendaji kazi wa balozi zetu,ooh mara kutafuta wafadhili wa bajeti, mara kutafuta wawekezaji, mara marafiki(sijui wa kike au kiume), mara kutangaza utalii. hiyo ni serikali ambayo viongozi wake wamechoka kufikiri, na viongozi wanaofikiri wapo uraiani na hao ndio wapambanaji wakweli. sas kazi ni moja tu, nayo ni kung`oa magugu yote ya CCM
We punguani nlichosoma mimi kinahitaji akili mara kumi ya akili inayohitajika huko medicine(what i earn in a month ..hao Madoctor inawihataji 1 year and a Half kufikia)...Kuwa Doctor hakukufanyi usiwe kilaza ..hawa madoctor si wanawafanyia watu opresheni za kichwa wakati walitakiwa wafanye opresheni za miguu ?...pia katika mgomo uliopita waliwakejeli wananchi badala ya kuwahudumia wakakata roho mbele yao! sasa hawa madoctor kama sio vilaza ni nani ? for your record ,na wewe ni kilazaaaaaaaaaaaa
Mbinu mliyoamua kutumia ni ya kipumbavu sana.......