Hydrobenga
JF-Expert Member
- Jun 24, 2012
- 1,127
- 212
Hawa wehu wengine wanakuja kuposti hapa bila kufikiri ..wangejua ule mgomo hali ilivyokuwa ... mtu kafiwa na mdogo wake mapokezi Hospital kwa kukosa huduma ... halafu madaktari wanamtolea maneno ya kejeli eti wamegoma....kwa nini tusikuteke halafu tukusulubu tukakutupe mabwepande ?HYDROBENGA. ...upo upande wa waliopatwa na machungu ya kufiwa na ndugu/rafiki/jamaa kwa sakata la madaktari.....!
wasiopatwa na kadhia hiyo hawakuelewi.........!
MKUKI KWA NGURUWE.....KWA BINADAMU MCHUNGU..!


