Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

HYDROBENGA. ...upo upande wa waliopatwa na machungu ya kufiwa na ndugu/rafiki/jamaa kwa sakata la madaktari.....!
wasiopatwa na kadhia hiyo hawakuelewi.........!
MKUKI KWA NGURUWE.....KWA BINADAMU MCHUNGU..!
Hawa wehu wengine wanakuja kuposti hapa bila kufikiri ..wangejua ule mgomo hali ilivyokuwa ... mtu kafiwa na mdogo wake mapokezi Hospital kwa kukosa huduma ... halafu madaktari wanamtolea maneno ya kejeli eti wamegoma....kwa nini tusikuteke halafu tukusulubu tukakutupe mabwepande ?
 

Angalizo: Akome pia kutongoza wake za watu hata kam yeye ni dokta, aendelee na migomo yake tu!
 
kazi wanayo Huwezi kushindana na Mungu hata siku moja lazima serkali ijue hilo.

Kwenye nyuzi zingine za hili tukio nilisema hivi:

Haiingii akilini kwa binaadam yeyote mwenye fikra japo kidogo, eti Serikali wakuchukuwe, wakupige, wakutupe Mabwepande halafu waje haki za binaadam kukuota.
 
Mkuu sawabho, hata hii picha bado inadanganya? au mahojiano kwa njia ya makonde?
Kweli Tanzania kama uijuavyo!

Mkuu mimi sipingi kwamba hajateswa, ila nilichoona ni kwamba alikamatwa kwa "mahojiano zaidi". Zingatia neno "mahojiano zaidi" ambalo ulipaswa kulitafakari na ukumbuke kuwa wakati tunajadili hii thread taarifa za kupatikana kwake zilikuwa bado kupatikana, kwa maana hiyo mahojiano zadi ambayo nilihisi yanaweza kuwepo ni hayo. Tuko pamoja Mkuu. Ni wakati wa kuamka na kusema "Hapana imetosha"
 
viachie wewe mpuuzi mkubwa.
 
Too Late Mr Kova no one will ever buy your lies
 
ni kwamba kova amezoa kukurupuka hata issue ya jerry muro alikuja mpaka na kitabu cha sheria leo hii tumeona. sasa ya dk ulimboka nadhani jeshi hakuja jipya itakalo toka nalo kwani wanajua bana. uonevu hauwezi kushinda haki

Jerry Muro alisema Kova sio polisi!
 
wewe utakuwa maiti inayotembea.
 
TUKUTANE TAHRIRI SKWEA kama misri, kama kweli umeziona picha hizo be concerned THIS IS TANZANIA.....
I wish to use a very strong language hapa, Tuimbe nyimbo za mashujaa katika vita ya Kagera, Tukumbuke hotuba ya Nyerere kuhusu Iddi Amini. Tuitoe madarakani Dhaifu hii
 
Kikwete na watoto wake watayalipa haya before 2015 chezea damu ya wananchi kwa sababu ya usalama wa KIkwete na Pinda badala ya Usalama wa Taifa mambumbu wezi wakubwa wa mali za taifa
 
I feel very bad.someone needs to pay for this inhumanity.someone who brought us here...he should.
 
hili jambo ni uvunjifu wa haki za binadamu wala halikubaliki katika jamii serekari imeona maji yako shingoni ikaamua kutuma majasusi naamini hivyo kwani hakuna mtu naye weza kufanya hivyo zaidi ya serekari iliyoko madarakani hawa watu wakamatwe, polisi walifika mida ya saa sita mchana mhimbili walikuwa wanatafuta nini wakati tuka usiku walikuwa wapi kufuatilia. Mgomo wa kumtibu doctor mwenzao haupo kwani tutahakikisha anapona kwa msaada wa mwenyezi mungu .
 

Nasema hivi; "Mkono wa Serikali ni mrefu", itajulikana tu ni nini kilichotokea, hilo wala usiwe na shaka nalo. Na uchunguzi wa nguvu umeshaanza na kova kisha liongelea.
 
Think outside the box ndugu yangu hii hauhitaji ujue inteligensia kuweza kujenga picha..Kiongozi alisema Liwalo na Liwe..waliohusika ni AKSARI wakiwa na bunduki zao..Sasa kuna chama cha Siasa chenye mamlaka juu ya askari kuwaamuru zaidi ya CCM?

Hata Majambazi si wanavamia na kuteka watu wakiwa na bunduki au? Sio kila anayekuwa na bunduki ni askari wa serikali
 
police wameusika, alafu vitisho wa viongozi wa ccm na serikali yao dhidi ya madaktari
 
Nasema hivi; "Mkono wa Serikali ni mrefu", itajulikana tu ni nini kilichotokea, hilo wala usiwe na shaka nalo. Na uchunguzi wa nguvu umeshaanza na kova kisha liongelea.
mkono wa serikali ulikatika siku nyingi siku hizi unaishia kwenye kiwiko tu,hakuna ukweli zaidi ya huu unaojua wewe,
 
Hii hatari yaani nchi yetu imefikia pabaya sana.
 
Hawa watu wanawazimu... ati "ni tukio la kwanza"! Really... yaani wamefumbwa macho yao hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…