Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Pole Dr. Uli, wanyonge wa nchi hii tuko pamoja nawe! Get wel soon bro!
 
mi nahisi kama vile kutakuwa na wabaya wake ambao wame take advantage ya ugomvi wake na serikali kumfanyia vibaya kwani wanajua wanajamii hawawezi kuangalia zaidi ya ugomvi wake na serikali
 
kwanini hamkumteka wakati huo, mkasubiria jana usiku!
kila jema huja na mabaya yake! si rahisi kuona hadha ya madaktari
lakini mazingira yao ya kazi ni magumu sana! wengine wanapatwa
na magonjwa mengine hata ambayo hayatibiki...
sisi raia hatupendi wagome, lakini kwa nini magamba
wasitekeleze madai yao kwa mjibu wa makubaliano??
CCM imechoka ihachie wenye nguvu na uwezo waongoze
nchi!
CCM inadhihaki afya na uhai wa watanzania! mfn: kupuuzia madai ya madaktari,
kupeleka pikipiki ya miguu mitatu (Mkoa wa Mara) kutumika kama ambulance... huku wao wana
tesea VXs na Vidumu vyao! shenzi type!

 
jamani huyu doctor ni nani kwa sie ambae hatumfahamu?

1. Kwanza hutaki kumfahamu ndio maana humfahamu. Tangu mgomo wa madaktari uanze huyu bwana jina lake limekuwa likitajwa mara kwa mara. Wanaohitaji kumfahamu wanamfahamu tayari. JF Member wa wapi wewe ambaye hata hufahamu Dr. Ulimboka ni nani?

2. Umeandika kana kwamba mko wengi ambao hamumfahamu huyu bwana. Lakini ni wewe peke yako humfahamu. Remember, there's no "we" in life.
 
Hakuna DR. mwenye akili ya kipumbavu ya kufanya hivi. Hilo ondoa katika mawazo yako na usiwapumbaze na wengine kwa hizo Siasa zisizokuwa na msingi.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

Kama wana Akili zaUpumbavu wa Kugoma basi wana akili za kufanya Upumbavu mwingine wowote. Tusubiri yatakayojiri.
 
Mmh1 Nimeshtuka, hebu angalia picha hizo kwa umakini tena. Jiulize Dr.Ulimboka alikua na kijipensi cha jeans akati anaenda for Reconciliation?.

Taarifa zina ualakini tena sana........
 


Hivi ndivyo Dk. Ulimboka alivyokutwa na kituo cha sheria na haki za binadamu baada ya kutolewa kituo cha polisi BUNJU. PICHA NA LHRC
 
Taifa la watu na watawala dhaifu linameshindwa kutafuta ufumbuzi wamatatizo ya wananchi wake.Kutisha na kuumiza raia wanaonekana kututetea maslahi ya walala hoi limekuwa ni kitu solutions kwa watawala wetu.Majizi na mafisadi papa hayatekwi na kuumizwa,yanatanua barabarani tu mengine yanaiba mabilioni ya serikali na kuhamishwa vituo vya kazi.KWANINI HAWA HATEKWI NA KUUMIZWA ??
 
Hawa watu wanawazimu... ati "ni tukio la kwanza"! Really... yaani wamefumbwa macho yao hivi?
Sijui la kwanza wapi...maana hapo mabwepande kwenyewe tu si tukio la kwanza la aina hii kufanyika eneo hilo, achilia mbali nchi nzima.
 
Tusitishane kabisaaaaaaa.Haki yetu inapatikana kwa shida sana Watanzania hiyo ni mbinu ya ccm kwani wanawatisha wananchi sasa .Tukubali kufa sasa hivi kwa ajili ya Watanzania na vizazi vijavyo.Watanzania tujipange vizuri kwani hawa jamaa wameona wamekwisha.Sasa harudi mtu nyuma.Na msimruhusu kiongozi yeyote wa serikali kwenda kumwangaliaDr Ulimboka huko hospital.Wasijifanye wema.wanajua kila kitu.Watanzania Tuunde tume [private] kuwafuatilia hao waliohusika.Tusikubali upelelezi wa polisi,kwani ndio hao hao tu.Canan tutafika tu.KATIBA MPYA NI MUHIMU SANA WATANZANIA,TUKATOE MAONI.
 

Naisubiri kwa hamu sana siku hiyo.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
 
Sitaki kuamini kama Serikali inaweza ikawa imecheza mchezo huu. Nijuavyo kama Serikali ingetaka kumuua Ulimboka ingemuua kwa njia ambazo hakuna kati yetu ambaye angeweza kuifikiria kuwa Serikali imemuua Ulimboka. Hao watakuwa ni miongoni mwa wenyewe kwa wenyewe. Maana tayari inasemeka kuna makundi kati yao
 
Nasema hivi; "Mkono wa Serikali ni mrefu", itajulikana tu ni nini kilichotokea, hilo wala usiwe na shaka nalo. Na uchunguzi wa nguvu umeshaanza na kova kisha liongelea.
SERIKALI IPI WEWE zomba?? kesi ya kunguru ukampe mwewe uliona wapi?? halafu nakuchukia wewe na wenzako wote mnaosuport hiki chama cha machangudoa!
 
Last edited by a moderator:
dah so sad. Kikwete Damu ya Ulimboka iwe juu yako mana utawala wako dhaifu ndio chanzo cha yote haya.
 
uchunguzi wa kina ufanyike...waliohusika sheria iwatibu wanavyostahilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…