Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana


hivi ushabiki utakupeleka wapi?
ni watanzania wangapi wamekufa na wanaendelea kufa kwa unyama wa madaktari,kama kosa ni la serikali kwanini madaktari wawauwe kwakutowapitua huduma,
je hii ni haki ya binadamu?
au kupigwa ulimboka ndio uvunjif wa haki za binadam.
Ulimboka sasa anaona umihimu wa tiba na nafikiri anajiuliza"je nini mustakabali wa maisha yangu kama na mimi wangeniacha bila tiba?".
serikali isisite kumfikisha mahakamani dr Ulimboka kwa kusababisha mateso na vifo kwa wagonjwa lakini pia imsake aliempiga dr ulimboka na ashtakiwe kwakujichukulia sheria mkononi.
 
Mi naona hatutaki kufikiri,kwani jihuridhe we ndio serikali na umehamua kufanya hivy kiukweli ungemuacha mzima na kwanini ulihamua kufanya hvy!binafsi na imani na serikari naona wasihoipendea amani nch yetu ndio wanayafanya haya.
 
Mi naona hatutaki kufikiri,kwani jihuridhe we ndio serikali na umehamua kufanya hivy kiukweli ungemuacha mzima na kwanini ulihamua kufanya hvy!binafsi na imani na serikari naona wasihoipendea amani nch yetu ndio wanayafanya haya.
Mhhh, Kiswahili kigumu jamani siyo mchezo.
 
Wasiwasi unaniingia nafsini mwangu isijekuwa alionekana kuwasaliti wadaktari wenzake kama alivyofanya awali wakaamua (madaktari) kumshughurikia kwa kuona in msaliti. Kumbukeni mgomo wa awali, ulipamba moto na yeye baada ya kuitwa ikulu wakatangaza ya kuwa mgomo unasitishwa.
Si kwamba ninafurahia mgomo uendelee bali mazingira ya kusitisha mgomo ule wa mwanzo ulikuwa na sintofahamu nyingi. Let's wait and see!
 
Hii DAMU ndo itazidisha chuki kali kati ya serikali dhaifu na wananchi wake....itaongeza chuki na kuwapa nguvu zaidi,hari zaidi na kasi zaidi ya mgomo au kwenda kazini na kukaa tu km walimu wanasaini saa 4 wanakunywa chai then wanapiga story tu kisha hao majumbani...

Serikali haina jinsi ambavyo itakwepa mzigo huu imehusika kwa asilimia zote mpaka hao waliomnasa huyo askari na radio-call yake wangemshikiria na kumuwajibisha na angetoa ukweli pia wangempiga picha haraka na kumfatilia....

Lakini tutafika tu kwani serikali zote dhalimu uanza ivi na mwishowe huwafika yuwapi MUBARAKA NA WANAWE
 
Ngoja tu Gadaf na Mubaraka wamelipa JK kuna siku atalipa pia
 
Wanachama wa M4C walifanyiwaga hv hv na inaonekana hao waliomfanyia hivyo ulimboka ni wale wale watukio la kule mwanza..
 
mkono wa serikali ulikatika siku nyingi siku hizi unaishia kwenye kiwiko tu,hakuna ukweli zaidi ya huu unaojua wewe,

Haiingii akilini kwa binaadam yeyote mwenye fikra japo kidogo, eti Serikali wakuchukuwe, wakupige, wakutupe Mabwepande halafu waje haki za binaadam kukuota.
 
Jamani Dr. Ulimboka amefanya nini? Ee MUNGU ? Serikali ya Kikwete unatupeleka wapi na unataka lini ??? Mbona wenye kuiba mapesa kuwekuwa Suiss Banki awafanyiwi hivyo?

Madoktari wanataka vifaa yakufanyia kazi yakuhudumia wana Tanzania kwakati wenyekuibia pesa za Watanzania nakuweka Banki ya Usuiss? Eeeeh Mungu wenye kufanya hivyo huyo Dr. Ulimboka MUNGU awadhibu kabisa na WALANIWE --- na KAMWE WASIPATE RAHA MOYONI MWAO ----- NA WAFEE KIFO YA HAIBU.

Eeeeh MUNGU msaidie Dr. ULIMBOKA, Doktari ya watu.
 
Hii post ya bwana Gimmy: naomba pia iwakilishe mawazo yangu:

Ni wakati wa Ulimboka kutafakari u nyeti wahuduma mahospitalini,
si furahishwi na alicho tendewa ulimboka ila pia sifurahishwi na maamuzi ya madkari akiwemo na Ulimboka kama kinara wa mgomo,
naamini dr ulimboka akipata nafuu anaweza hisi watanzania wanateseka kwa kiwango gani na migomo yenu,je kama wewe ungeachwa bila huduma nini ingekua hatma ya maisha yako?
lazma tuache ushabiki kwani watu wanaangamia kwa mgomo huu,
ni ajabu watu kuonesha huruma kwa ulimboka pekee ambae kimsingi hakuwahurumia wagonjwa wenye hali kama yake au mbaya zaidi ya hali alionayo sasa.
Madkatari tafuteni njia mbadala kuwabana serikali kwani mnatuua watanzania wenzenu bila hatia

 
Ulimboka nae hasipate huduma kwa siku tatu kama wenzie wasio madaktari wanavyokosa huduma na kuteseka kwa matendo yake ya kuwashawishi madr wagome na wananchi wakose huduma
 
Yaani hukumu za kisela mnapeleka katika mambo yenye maslahi na umma.
 
Kama wana Akili zaUpumbavu wa Kugoma basi wana akili za kufanya Upumbavu mwingine wowote. Tusubiri yatakayojiri.

Inaelekea wewe ni mtoto wa fisadi ulisomea nje............. Wenzako kunji tulishazoea toka enzi zile!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…