Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

kwa haraka haraka kila anayedhani ulimboka hajapigwa na Askari ni CCM? au sijaelewa vizuri comments za wengi kwenye hii thread?? mnijibu tafadhali
 
Unajua bwana tatizo ni hili kumchukua mtu ambaye amefeli hana credibility halafu ukamfanya usalama wa taifa madhara yake ndiyo hayo atawaza mwisho chini ya pua. Hata humu wamo ku-drift away majadiliano na kuinyima hoja nguvu. Achana nao
 
ulieandika thread hii ni mwafalsafa. unaona mbali! hongera! Mungu akurefushie maisha ili uendelee kutuamsha watanzania!
 

kaha.ba ww tena unajiuza baar..
 
Hadithi za shigongo hizi.
Kumbe unamhusudu sana Shigongo eeeh? Mkweli na muwazi ati. Wapo wanaodhani ni muongo kumbe baadaye wakitambua kuwa aliyosema ni kweli wanaona aibu hata kurudi na kusema samahani. Mitanzania ndivyo tulivyo.
 
Mods kuna kitufe mbona sikioni?, yaani nashauri kama mlivyoweka kitufe cha likes,reply na reply with quotes basi muongeze kitufe kingine ama cha shenzi au pumbavu au mjinga we ili tufikishe ujumbe

Hahahahahahhaah! mawazo yetu yanaoana.. nilitaka kumwandikia mods the same ushauri.
 
Kumwagiwa Tindikali kwa Saed Kubenea
Kifo cha Horace Kolimba - inasemekana ni kwa njia ya sumu.
Kifo cha marehemu Prof. Juan Mwaikusa
Kuchinjwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA arumeru siku kadhaa baada ya uchaguzi
Kifo cha marehemu Imran Kombe
Kuvamiwa na Kupigwa kwa mpendazoe kipindi yupo na chama cha CCJ.
Jaribio la kutaka kumuua mbunge wa Ilemela Ndg. Highness Kiwia.
Kupotea kwa Shabiki wa Chadema kule igunga siku chache baada ya uchaguzi.
Kuuawa kwa wazanzibar kabla ya muafaka wa kuunda serikali ya umoja wa kitaifa.

Haya yote ni baadhi ya mambo ambayo yanamtizamo hasi kwa umma dhidi ya serikali ya chama cha mapinduzi, wahanga wote wa haya matukio wana kitu kimoja common - kupigania mabadiliko kwa uwazi pamoja na kuikosoa serikali kwa baadhi ya mambo mbalimbali ambayo hawakuridhishwa nayo.

Hili na ulimboka na lenyewe lina tafsiri nyingi sana.
 

Je kwa upande wa pili sio mpango wa serikali kutaka kuwaangamiza wapinzani?
 
ulieandika thread hii ni mwafalsafa. unaona mbali! hongera! Mungu akurefushie maisha ili uendelee kutuamsha watanzania!

Wewe nawe, je sio kuwa serikali imemuumiza ili wapate njia ya kusema ni mpango wa wapinzani kuiondoa madarakani mara watakapo ibana? Waitishe referendum basi tuone kama bado wanahitajika!
 
kumbe waziri mkuu kamtoa kafara ili madaktari warudi kazini!!!!!!!mwambie hivi,auae kwa upanga naye atakufa kwa upanga.
 
Umesahau wengine, Chama cha mafisadi kinatapatapa. KANU ilikuwa na tabia hizi hizi-Ikabwagwa!
Kuishia kusiko julikana aliye mkosa kosa ngala JK kule CCM Kirumba,
Kifo cha utatanishi cha Rwegasira wa TRL,
Kutegeshewa Polonium na kunusa kifo kwa Mwakyembe
Kifo cha Mwl. JKN na wasiwasi wa MP wa Musoma.
 
Usipotoshe ukweli.Waliomdhuru ni hao wanaokanusha.Kama si wao kwa nini kituo cha polisi Bunju hawakutaka kumwahisha kupata matibabu?Mpaka sasa hawajatoa tamko.Kenya waliwafukuza Madaktari lakini kiko wapi?. Hivi wanaposema watawafukuza wanategemea nini na watapat wapi madaktari wa kuwaajiri ni ndoto za mchana.
 
Usitake kupoteza ukweli, mmesema jeshi la Polisi wanafanya uchunguzi mbona sasa mwaja na majibu au nyie ndio wapelelezi wa Kova?
 
i katika kujipendekeza kwenu kwa ccm tunaomba mjichunge kila mtembeapo jihadharini na mabinti na mjichunge mnakula na kunywa wapi lazima tuondoke na mmoja wenu halafu mapata lessons maana watanzania wanteseka sababu ya serikali ya kufisadi na nyie mnashabikia hali hii especialy kitendo cha gerald hando lazima tujibu mapigo wenzenu watakuwa bungeni na sisi nanyie god bless you guys watch your backs:embarassed2:
 

Lazima utakuwa umetoroka kutoka Mirembe wewe! Siyo bure.
 
unajua watu wanachonga sana kwenye keyboards, lakini huku vijijini watu wala hawajui kama kuna mgomo
 
I was just thinking very loud, sitaki nkuamini hata kidogo kam serikali kupitia jeshi la polisi could be dare to do this.

Kuna silku ukweli utadhihiri.

K.
Habari ya Canada, mnatunyima nini huko, yale mabembea ya Jamaica yapo huko, vipi ushapiga picha na miss canada, rudi nyumbani, nyumba inawaka moto
 

Mkuu niekupata kumbe ni Msemaji na Mtetezi wa CHADEMA sishangai kwa nini mnapalia Mkaa na kulipolitisais hili jambo.
Tusubiri yatakayojiri nasubiri ushahidi wako na Kijosimba.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…