Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika pitapita zangu, nimedokezwa kuwa mfululizo huu wa migomo na maandamano ni kufanikisha mpango wa ki haini wa kutaka kuiangusha serikali iliyoko madarakani. Tulianza kushuhudia maandamano na kuambiwa kama nchi haitatawalika, nadhani ilitakiwa iwe kama yale ya arab spring. Lakini Mungu bariki mbinu hii ikabuma.
Ikaja mgomo wa wafanyakazi, nao ukabuma. Ukaja mgomo wa madaktari kupitia interns...huu ulisumbua kiasi mpaka ukang'oa vigogo kule wizarani lakini ukapita. Sasa mgomo huu mwingine kwa kisingizio kile kile cha hali bora za madaktari. Cha kushangaza wanaoshabikia zaidi migomo yote hii ni wale walioanzisha maandamano.
Nashawishika kuamini jamaa yangu aliyenin'gata sikio kuwa mpango huu unalenga kutaka kuifanya nchi isitawalike, nimedokezwa kuwa waalimu nao wameshawishiwa kugoma.
Sasa kama nadharia hii ni kweli, basi masikini dr. Uli jamaa zako wenyewe ndio wamekutia jiti. Na jamii iaminishwe kama ni jeshi la polisi and so serilkali ili umma woote uanze kuichukia serikali na kuiangusha. Dr. Uli adui yuko chumbani kwako, usimtafute mchawi.
I was just thinking very loud, sitaki nkuamini hata kidogo kam serikali kupitia jeshi la polisi could be dare to do this.
Kuna silku ukweli utadhihiri.
K.
Kumbe unamhusudu sana Shigongo eeeh? Mkweli na muwazi ati. Wapo wanaodhani ni muongo kumbe baadaye wakitambua kuwa aliyosema ni kweli wanaona aibu hata kurudi na kusema samahani. Mitanzania ndivyo tulivyo.Hadithi za shigongo hizi.
Mods kuna kitufe mbona sikioni?, yaani nashauri kama mlivyoweka kitufe cha likes,reply na reply with quotes basi muongeze kitufe kingine ama cha shenzi au pumbavu au mjinga we ili tufikishe ujumbe
Katika pitapita zangu, nimedokezwa kuwa mfululizo huu wa migomo na maandamano ni kufanikisha mpango wa ki haini wa kutaka kuiangusha serikali iliyoko madarakani. Tulianza kushuhudia maandamano na kuambiwa kama nchi haitatawalika, nadhani ilitakiwa iwe kama yale ya arab spring. Lakini Mungu bariki mbinu hii ikabuma.
Ikaja mgomo wa wafanyakazi, nao ukabuma. Ukaja mgomo wa madaktari kupitia interns...huu ulisumbua kiasi mpaka ukang'oa vigogo kule wizarani lakini ukapita. Sasa mgomo huu mwingine kwa kisingizio kile kile cha hali bora za madaktari. Cha kushangaza wanaoshabikia zaidi migomo yote hii ni wale walioanzisha maandamano.
Nashawishika kuamini jamaa yangu aliyenin'gata sikio kuwa mpango huu unalenga kutaka kuifanya nchi isitawalike, nimedokezwa kuwa waalimu nao wameshawishiwa kugoma.
Sasa kama nadharia hii ni kweli, basi masikini dr. Uli jamaa zako wenyewe ndio wamekutia jiti. Na jamii iaminishwe kama ni jeshi la polisi and so serilkali ili umma woote uanze kuichukia serikali na kuiangusha. Dr. Uli adui yuko chumbani kwako, usimtafute mchawi.
I was just thinking very loud, sitaki nkuamini hata kidogo kam serikali kupitia jeshi la polisi could be dare to do this.
Kuna silku ukweli utadhihiri.
K.
ulieandika thread hii ni mwafalsafa. unaona mbali! hongera! Mungu akurefushie maisha ili uendelee kutuamsha watanzania!
kumbe waziri mkuu kamtoa kafara ili madaktari warudi kazini!!!!!!!mwambie hivi,auae kwa upanga naye atakufa kwa upanga.masikini dokta hakujua kikulacho kinguoni mwake.
Kosa kubwa alilofanya dr ulimboka ni muafaka wake walipokutana ikulu na rais. Watu walioanzisha ule mgomo walitaka uendelee tu usiishe.sasa wamemuadhibu maana inaonesha ulimboka alichukua mshiko kwa lengo la kufanya mgomo mrefu alipofika ikulu kukutana na charisma ya jk akakubali kumaliza mgomo.
Pole sana dr ulimboka utakuwa umejifunza kwamba hao waliokutuma hawakuwa watu wazuri.
Katika pitapita zangu, nimedokezwa kuwa mfululizo huu wa migomo na maandamano ni kufanikisha mpango wa ki haini wa kutaka kuiangusha serikali iliyoko madarakani. Tulianza kushuhudia maandamano na kuambiwa kama nchi haitatawalika, nadhani ilitakiwa iwe kama yale ya arab spring. Lakini Mungu bariki mbinu hii ikabuma.
Ikaja mgomo wa wafanyakazi, nao ukabuma. Ukaja mgomo wa madaktari kupitia interns...huu ulisumbua kiasi mpaka ukang'oa vigogo kule wizarani lakini ukapita. Sasa mgomo huu mwingine kwa kisingizio kile kile cha hali bora za madaktari. Cha kushangaza wanaoshabikia zaidi migomo yote hii ni wale walioanzisha maandamano.
Nashawishika kuamini jamaa yangu aliyenin'gata sikio kuwa mpango huu unalenga kutaka kuifanya nchi isitawalike, nimedokezwa kuwa waalimu nao wameshawishiwa kugoma.
Sasa kama nadharia hii ni kweli, basi masikini dr. Uli jamaa zako wenyewe ndio wamekutia jiti. Na jamii iaminishwe kama ni jeshi la polisi and so serilkali ili umma woote uanze kuichukia serikali na kuiangusha. Dr. Uli adui yuko chumbani kwako, usimtafute mchawi.
I was just thinking very loud, sitaki nkuamini hata kidogo kam serikali kupitia jeshi la polisi could be dare to do this.
Kuna silku ukweli utadhihiri.
K.
Habari ya Canada, mnatunyima nini huko, yale mabembea ya Jamaica yapo huko, vipi ushapiga picha na miss canada, rudi nyumbani, nyumba inawaka motoI was just thinking very loud, sitaki nkuamini hata kidogo kam serikali kupitia jeshi la polisi could be dare to do this.
Kuna silku ukweli utadhihiri.
K.
I was just thinking very loud, sitaki nkuamini hata kidogo kam serikali kupitia jeshi la polisi could be dare to do this.
Kuna silku ukweli utadhihiri.
K.
Hili jambo kama lingefanywa/limefanywa na mtu mwingine au kikundi kingine chochote tofauti na serikali basi tutapata taarifa ya uchunguzi haraka na watu watataka ku-capitalise ili kuweka ukweli sawa sawa otherwise tutaletewa hadithi za kusadikika tu ili kufunika kombe!
Hili jambo halina mkono wa CDM hata kidogo najua propaganda kama hizo zitakuwepo ili kulipotezea. Jambo hili ni nyeti na tunahitaji chombo huru cha uchunguzi kuleta taarifa!
Siamini kama polisi ya Tanzania au serikali hii for that matter itakuja na taarifa yoyote credible juu ya tukio hili.