Nyakwec's Bro
JF-Expert Member
- Apr 27, 2012
- 820
- 174
Dakika tano nyingi hebu muombe hata maneno matano tu,au huyu ni PM nn?Naona kuna haja ya kutumia ID halisi ili tuwajue hawa wenye haya mawazo wako pande gn ya tz inayozama!.....Mods kale kaombi kangu ka kuruhusu lugha chafu kwa dk 5 vipi bado mnakatafakari?
Lohhh, ina maana huduma za afya kwa Tanzania ni nzuri siyo?
Kweli Madr. mna dhambi sana. Ndiyo maana hata viongozi wetu wanazikimbia Hospital za Tanzania.
Hapa chini: Binti Nyerere na Waziri Lukuvi wakipata kikombe cha Babu.
Kwa chini ni yule Mwana Sheria Mkono na Waziri Wasira na wao wakipata kikombe cha Babu.
Bado jitu halioni tatizo..... I wish ningelikuwa KAGAME wa Tanzania, niwakaange Vichwa ngumu wanaodhani ukuta wa Berlin bado umesimama (RIP KOLIMBA).
Katika pitapita zangu, nimedokezwa kuwa mfululizo huu wa migomo na maandamano ni kufanikisha mpango wa ki haini wa kutaka kuiangusha serikali iliyoko madarakani. Tulianza kushuhudia maandamano na kuambiwa kama nchi haitatawalika, nadhani ilitakiwa iwe kama yale ya arab spring. Lakini Mungu bariki mbinu hii ikabuma.
Ikaja mgomo wa wafanyakazi, nao ukabuma. Ukaja mgomo wa madaktari kupitia interns...huu ulisumbua kiasi mpaka ukang'oa vigogo kule wizarani lakini ukapita. Sasa mgomo huu mwingine kwa kisingizio kile kile cha hali bora za madaktari. Cha kushangaza wanaoshabikia zaidi migomo yote hii ni wale walioanzisha maandamano.
Nashawishika kuamini jamaa yangu aliyenin'gata sikio kuwa mpango huu unalenga kutaka kuifanya nchi isitawalike, nimedokezwa kuwa waalimu nao wameshawishiwa kugoma.
Sasa kama nadharia hii ni kweli, basi masikini dr. Uli jamaa zako wenyewe ndio wamekutia jiti. Na jamii iaminishwe kama ni jeshi la polisi and so serilkali ili umma woote uanze kuichukia serikali na kuiangusha. Dr. Uli adui yuko chumbani kwako, usimtafute mchawi.
I was just thinking very loud, sitaki nkuamini hata kidogo kam serikali kupitia jeshi la polisi could be dare to do this.
Kuna silku ukweli utadhihiri.
K.
Kwa hali hii hawa makada watatuweza kutupunguza humu JF kwa uchokozi wakijilinda na BAN.naona sheria ziruhusu kutumia lugha chafu angalau mara moja kwa mwezi huyu alistahili lugha chafu!!
Labda wameshakuambia walimfanyizia kamuulize yule alikula kipigo na kibano cha sawasawa pale muhimbili atakupa jibu halisi punde tutaweka kipigo cha kwenye you-tubeJamani me naomba kuuliza huyu ulimboka amepigwa tu au kuna mengine pia amefanyiwa ? Maana watoto wa mjini hawakawii kumuangushia kichapo na KUMTAFUNA VILE VILE ! NIPE HABARI MLIO KARIBU YAKE ?
Katika pitapita zangu, nimedokezwa kuwa mfululizo huu wa migomo na maandamano ni kufanikisha mpango wa ki haini wa kutaka kuiangusha serikali iliyoko madarakani. Tulianza kushuhudia maandamano na kuambiwa kama nchi haitatawalika, nadhani ilitakiwa iwe kama yale ya arab spring. Lakini Mungu bariki mbinu hii ikabuma.
Ikaja mgomo wa wafanyakazi, nao ukabuma. Ukaja mgomo wa madaktari kupitia interns...huu ulisumbua kiasi mpaka ukang'oa vigogo kule wizarani lakini ukapita. Sasa mgomo huu mwingine kwa kisingizio kile kile cha hali bora za madaktari. Cha kushangaza wanaoshabikia zaidi migomo yote hii ni wale walioanzisha maandamano.
Nashawishika kuamini jamaa yangu aliyenin'gata sikio kuwa mpango huu unalenga kutaka kuifanya nchi isitawalike, nimedokezwa kuwa waalimu nao wameshawishiwa kugoma.
Sasa kama nadharia hii ni kweli, basi masikini dr. Uli jamaa zako wenyewe ndio wamekutia jiti. Na jamii iaminishwe kama ni jeshi la polisi and so serilkali ili umma woote uanze kuichukia serikali na kuiangusha. Dr. Uli adui yuko chumbani kwako, usimtafute mchawi.
I was just thinking very loud, sitaki nkuamini hata kidogo kam serikali kupitia jeshi la polisi could be dare to do this.
Kuna silku ukweli utadhihiri.
K.
Jamani me naomba kuuliza huyu ulimboka amepigwa tu au kuna mengine pia amefanyiwa ? Maana watoto wa mjini hawakawii kumuangushia kichapo na KUMTAFUNA VILE VILE ! NIPE HABARI MLIO KARIBU YAKE ?
pikeni na leteni habari za uongo ila ukweli mzima tunaujua.....
kuna tetesi zimeenea kwamba blandina nyoni amehusika na tukio hilo akiwa na dhamira yakulipiza kisasi kwa kuwa mgomo wa madaktari wa awamu ya kwanza ulisababisha kutimuliwa pale wizarani hivyo ameamua kutumia nafasi hii ili kumaliza machungu yake.
my take.
je wanajamvi hii inaweza kuwa na ukweli.