Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Mods kale kaombi kangu ka kuruhusu lugha chafu kwa dk 5 vipi bado mnakatafakari?
Dakika tano nyingi hebu muombe hata maneno matano tu,au huyu ni PM nn?Naona kuna haja ya kutumia ID halisi ili tuwajue hawa wenye haya mawazo wako pande gn ya tz inayozama!.....
 
Hii ni dalili ya serikali dhaifu na iliyochoka. Tumefika mahali sasa hata mawaziri wanaenda kunywa kikombe kwa Babu ili wapone magonjwa yao! Unatarajia waziri huyohuyo atakuwa na akili ya kuboresha matibabu ya hospitali na kuwajali madaktari! Ondoa serikali hii dhaifu.
Lohhh, ina maana huduma za afya kwa Tanzania ni nzuri siyo?

Kweli Madr. mna dhambi sana. Ndiyo maana hata viongozi wetu wanazikimbia Hospital za Tanzania.

Hapa chini: Binti Nyerere na Waziri Lukuvi wakipata kikombe cha Babu.

Lukuvi%2B%2526%2BRosemary%2Bin%2BLoliondo_.jpg

Kwa chini ni yule Mwana Sheria Mkono na Waziri Wasira na wao wakipata kikombe cha Babu.
asiramkono.jpg

Bado jitu halioni tatizo..... I wish ningelikuwa KAGAME wa Tanzania, niwakaange Vichwa ngumu wanaodhani ukuta wa Berlin bado umesimama (RIP KOLIMBA).
 
Hii ni kweli kabisa, hizi mbinu zimepangwa na CDM, halafu lema si alikuwepo Dar wakati hili tukio limetokea?
 
Katika pitapita zangu, nimedokezwa kuwa mfululizo huu wa migomo na maandamano ni kufanikisha mpango wa ki haini wa kutaka kuiangusha serikali iliyoko madarakani. Tulianza kushuhudia maandamano na kuambiwa kama nchi haitatawalika, nadhani ilitakiwa iwe kama yale ya arab spring. Lakini Mungu bariki mbinu hii ikabuma.

Ikaja mgomo wa wafanyakazi, nao ukabuma. Ukaja mgomo wa madaktari kupitia interns...huu ulisumbua kiasi mpaka ukang'oa vigogo kule wizarani lakini ukapita. Sasa mgomo huu mwingine kwa kisingizio kile kile cha hali bora za madaktari. Cha kushangaza wanaoshabikia zaidi migomo yote hii ni wale walioanzisha maandamano.

Nashawishika kuamini jamaa yangu aliyenin'gata sikio kuwa mpango huu unalenga kutaka kuifanya nchi isitawalike, nimedokezwa kuwa waalimu nao wameshawishiwa kugoma.

Sasa kama nadharia hii ni kweli, basi masikini dr. Uli jamaa zako wenyewe ndio wamekutia jiti. Na jamii iaminishwe kama ni jeshi la polisi and so serilkali ili umma woote uanze kuichukia serikali na kuiangusha. Dr. Uli adui yuko chumbani kwako, usimtafute mchawi.

I was just thinking very loud, sitaki nkuamini hata kidogo kam serikali kupitia jeshi la polisi could be dare to do this.

Kuna silku ukweli utadhihiri.

K.

hao waanzisha migomo watu wabaya sana wamemshawishi hadi mke wangu kunigomea unyumba ili ndoa isitawalike, nawalaani vikali!
 
kinachonifurahisha usalama wa taifa muko kwenye defensive wakati mwingine dhaifu kikwete akiwatuma tumiieni taaluma yenu kutafuta wakati muaafaka hili munalo mumeiweka nchi yetu kwenye hatari mno kwa sababu ya matumbo yenu a big lesson
 
Jamani me naomba kuuliza huyu ulimboka amepigwa tu au kuna mengine pia amefanyiwa ? Maana watoto wa mjini hawakawii kumuangushia kichapo na KUMTAFUNA VILE VILE ! NIPE HABARI MLIO KARIBU YAKE ?

Labda wameshakuambia walimfanyizia kamuulize yule alikula kipigo na kibano cha sawasawa pale muhimbili atakupa jibu halisi punde tutaweka kipigo cha kwenye you-tube
 
Ongeza na hawa, Stanslaus Katabalo, Dr Gideon Mwaikambo, yule Doctor aliyefanya Postmoturm ya kifo cha yule mwana wa mfalme wa nchi moja ya Kiarabu, nafikiri alifia New African Hotel, wote hawa except Mwaikambo, walikufa miaka ya 90 enzi za mzee ruksa!
 
Katika pitapita zangu, nimedokezwa kuwa mfululizo huu wa migomo na maandamano ni kufanikisha mpango wa ki haini wa kutaka kuiangusha serikali iliyoko madarakani. Tulianza kushuhudia maandamano na kuambiwa kama nchi haitatawalika, nadhani ilitakiwa iwe kama yale ya arab spring. Lakini Mungu bariki mbinu hii ikabuma.

Ikaja mgomo wa wafanyakazi, nao ukabuma. Ukaja mgomo wa madaktari kupitia interns...huu ulisumbua kiasi mpaka ukang'oa vigogo kule wizarani lakini ukapita. Sasa mgomo huu mwingine kwa kisingizio kile kile cha hali bora za madaktari. Cha kushangaza wanaoshabikia zaidi migomo yote hii ni wale walioanzisha maandamano.

Nashawishika kuamini jamaa yangu aliyenin'gata sikio kuwa mpango huu unalenga kutaka kuifanya nchi isitawalike, nimedokezwa kuwa waalimu nao wameshawishiwa kugoma.

Sasa kama nadharia hii ni kweli, basi masikini dr. Uli jamaa zako wenyewe ndio wamekutia jiti. Na jamii iaminishwe kama ni jeshi la polisi and so serilkali ili umma woote uanze kuichukia serikali na kuiangusha. Dr. Uli adui yuko chumbani kwako, usimtafute mchawi.

I was just thinking very loud, sitaki nkuamini hata kidogo kam serikali kupitia jeshi la polisi could be dare to do this.

Kuna silku ukweli utadhihiri.

K.

Ww v...na huyo aliyepigwa pale muhimbili na kujitambulisha km mkuu wa police pale salender baada ya kugundulika kuwa alikuwa anaongea na cm kuwa'niliwaambia tumchome sindano ya sumu ili afe' ni nani,c o serikali?...au hujui kinachoendelea ww!km hujui uliza uckurupuke
 
Mwakyembe nae aliponea.

Ila hii sasa inaumaga sana asee
 
Jamani me naomba kuuliza huyu ulimboka amepigwa tu au kuna mengine pia amefanyiwa ? Maana watoto wa mjini hawakawii kumuangushia kichapo na KUMTAFUNA VILE VILE ! NIPE HABARI MLIO KARIBU YAKE ?

Kwani kaka we umeijulia wapi? Inawezekana hao watoto wa mjini wameshakuvuruga pia ndio maana umepata kuwajua labda.
 
pikeni na leteni habari za uongo ila ukweli mzima tunaujua.....

Blandina Nyoni is a serious lady hawezi kuandika messages za upuuzi namna hiyo; enezeni uzushi wenu lakini siku ya siku mtaumbuka. If anything hili sakata la mgomo wa madaktari limemuumbua Pinda kuwa alikurupuka kuwasimamisha Kazi Nyoni na Mtasiwa!! Hivi sasa Nyoni na Mtasiwa hawapo kazini lakini mgomo wa madaktari umeibuka upya ukidhihilisha kuwa Nyoni na Mtasiwa were mere scapegoats; kiini cha matatizo ni bado elusive kwa serikali. Mimi ndio ningekuwa Kikwete hivi sasa hawa madaktari wakiendeleza mgomo wao ningewarudisha Nyoni na Mtasiwa kazini immediately!!
 
Hizi taarifa si za kweli ni uzushi tu. Blandina hahusiki kabisa kwa sakata hli la Dr. Steven. Ameshapoteza kazi hana maslahi na jambo hili.
kuna tetesi zimeenea kwamba blandina nyoni amehusika na tukio hilo akiwa na dhamira yakulipiza kisasi kwa kuwa mgomo wa madaktari wa awamu ya kwanza ulisababisha kutimuliwa pale wizarani hivyo ameamua kutumia nafasi hii ili kumaliza machungu yake.
my take.
je wanajamvi hii inaweza kuwa na ukweli.
 
huo ni uongo mnataka kumgeuza mama waw mbuzi wa kafara? Srkl ya jmt inahusika 1kwa1.
 
hii chadema inatupeleka pabaya! mnataja majina ya watu kama karanga! mara fulani kahusika mara fulani kahusika........... whts up!
 
Pole Dr Uli!Mungu huwa hamfichi mnafiki,hata akiwa Mchugaji au Shekhe utamjua tu kwa matendo au mazungumzo yake!Liwalo na liwe...Mmh!
 
Kuweka kumbukumbu sawa, ''There are currently 213 users browsing this thread. (56 members and 157 guests)''.

Nimefarijika kuona kuwa idadi kubwa hii ya watu imeridhia kubaini upande mwingine wa shilingi wa kile kilichojifisha (untold strory) behind kujeruhiwa vibaya kwa Dr. Ulimboka.Kuna walio nituhumu kuwa mie ni Usalama, kuna wanaodai kama ninatembea na Waziri mmoja maarufu, kuna waliotoa kejeli kadha wa kadha. Ila Wana JF! na wengi mnaopita humu Foramuni...mambo si rahisi hivyo..people can do anything! to fulfill their aim.

Nakumbuka Moja ya nchi yenye nguvu kabisa duniani wali-mtoa kafara balozi wao ili wamuangamize Waziri Mkuu wa nchi moja kule Mashariki ya kati. Tanzania sio kisiwa na uchu wa madaraka wa watu hautofautiani, ladha ya damu ya binaadamu ni ile ile. Hivi imefika muda gani, tokea kifo cha utata cha Mpambanaji aliejizolea maadui wengi ndani ya safu za uongozi wa Chama chake, ningependa kuadhimisha siku hii, na wale wahanga kule Arusha walio lazimishwa kuwa lazima waandamane ilihali viongozi wao wanajifisha kwenye vipaza sauti. Baada ya vifo vile majeneza yao kubebwa kwa mbwembwe huku yakifunikwa bendera za chama.

Ki- ufupi na bila kuwachosha Wafanya Sihasa..wako tayari hata kutumia mbinu zozote (zi we za halali au za haramu) kuhakikisha kama malengo yao yanatimia.Wa Tanzania tuamke, tuache kutumiwa.K
 
Katika pitapita zangu, nimedokezwa kuwa mfululizo huu wa migomo na maandamano ni kufanikisha mpango wa ki haini wa kutaka kuiangusha serikali iliyoko madarakani. Tulianza kushuhudia maandamano na kuambiwa kama nchi haitatawalika, nadhani ilitakiwa iwe kama yale ya arab spring. Lakini Mungu bariki mbinu hii ikabuma.

Ikaja mgomo wa wafanyakazi, nao ukabuma. Ukaja mgomo wa madaktari kupitia interns...huu ulisumbua kiasi mpaka ukang'oa vigogo kule wizarani lakini ukapita. Sasa mgomo huu mwingine kwa kisingizio kile kile cha hali bora za madaktari. Cha kushangaza wanaoshabikia zaidi migomo yote hii ni wale walioanzisha maandamano.

Nashawishika kuamini jamaa yangu aliyenin'gata sikio kuwa mpango huu unalenga kutaka kuifanya nchi isitawalike, nimedokezwa kuwa waalimu nao wameshawishiwa kugoma.

Sasa kama nadharia hii ni kweli, basi masikini dr. Uli jamaa zako wenyewe ndio wamekutia jiti. Na jamii iaminishwe kama ni jeshi la polisi and so serilkali ili umma woote uanze kuichukia serikali na kuiangusha. Dr. Uli adui yuko chumbani kwako, usimtafute mchawi.

I was just thinking very loud, sitaki nkuamini hata kidogo kam serikali kupitia jeshi la polisi could be dare to do this.

Kuna silku ukweli utadhihiri.

K.

Hata mzazi wako akimkosoa yule mwingine mwenye ndevu kwa jambo la msingi bado tu utaita ni uhaini kwa sababu tu haruhusiwi kudai haki.
 
Back
Top Bottom