Migomo ni njia mojawapo ya kudai haki,kutoa taarifa na kuishinikiza serikali juu ya jambo fulani,naamini kabisa hizi ni sababu zilizofanya wakairuhusu kikatiba.
Sasa ni nchi dhaifu tu na yenye viongozi dhaifu tu ndo itateka ''viongozi'' wa migomo! Vitu kama hivi ndo vinafungua milango kwa nchi kama Marekani na nyingine kuingia ndani,wataanza Amnesty Int'l kuingilia suala la kutekwa kwa daktari,watakuja watu kuchunguza na kutengeneza report zilizojaa exaggerations! Watakuja Nato,watakuja maraisi wao..vyote hivi vitawasaidia kuigawa na kuchukua raslimali za TZ. Tuna sababu nyingi za wao kuja,tuna Tanzanites,Gold,Uranium,Diamond n.k
Haya masuala ya kidhaifu ya kuteka viongozi wa mgomo ni kama kujichimbia kaburi letu wenyewe. Naamini pesa ya kustaafu ni kubwa sana,kama mtu unajua hapo ulipo hupawezi,iwe waziri,mbunge,diwani,speaker,raisi kwanini usiandike barua ya kustaafu ule pesa yako ndefu uondokane na laana za watanzania?? Mbona tunapenda kufunga ndoa na dhambi kubwa kubwa hivi?
Ubabe tangu lini ukasaidia kwenye kutatua matatizo ya madaktari?mnataka kuwatisha warudi kazini wakapige story na kutoa huduma hafifu,sasa huko si ndo kubaya zaidi>si bora hata hivi watu wanajua hamna dakatari ngoja nitafute alternatives kuliko kukmkuta halafu anakuzungusha hadi mgonjwa wako anakufa.
Please,mnachofanya n vitu vya mwaka 1678..tuko dunia nyingine sasa,acheni ubabe,kama mtu unashindwa kutatua matatizo ya madaktari,please RESIGN. hatutaki waziri au kiongozi mnafiki.:embarassed2: :embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2: