wagaba
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,106
- 605
me nilijua watagoma kumtibu na mshkaji.....GET WELL SOON tuendeleze mapambano
Hii yako sasa kali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
me nilijua watagoma kumtibu na mshkaji.....GET WELL SOON tuendeleze mapambano
kuna ushahidi gani kama ametekwa na serikali? mbona great thinkers tunakimbilia kuhukumu kabla ya uthibitisho wa kumjua aliyemteka? mm nadhani hiyo ni mbinu ya madokta kuupa attantion huu mgomo wao wa sasa hivi maana hauna attention kwenye media kama ile iliyotangulia!
Wakafunge na zile hospital zao za PRIVATE. Na kule PART TIME wasiende.
Pamoja na kwamba mnadai haki zenu jaribuni kuwafikiria na wengine hasa walalahoi ambao hawajui hata wafanye nini, waende wapi au wale nini leo! Mnadai haki kwa kupoteza roho zisizo na hatia???!!! Msiifanye migumu mioyo yenu, mwangalieni Mungu anayetoa uhai, jua na mvua bure kwa wote.
CCM na JK wameingia madarakani kwa kumwaga damu za watu
Edson mambo hayaendi kwa kutukana wala kuleta dharau hoja hujibiwa kwa hoja....lete ushahidi hapa kama kweli polisi wamehusika na si viunginevyo...!! mbona unataka kulazimisha mambo hapa!muone huyu nae...acha ujinga
Ndio hali halisi. Niko hapa Muhimbili na madaktari, mageti yote ya Muhimbili yamefungwa na Wamesema LIWALO NA LIWE hakuna huduma yoyote inayotolewa, hakuna wagonjwa wala wahudumu wanaowahudumia wagonjwa KAULI YA PINDA na kitendo walichomfanyia OLIMBOKA vinaliangamiza taifa kutokana na UDHAIFU wa serikali ya Kipuuziii.
Mda mfupi uliopita jamaaa mmoja ambaye ni usalama wa taifa kapigwa alipokuwa anaripoti kwa walio mtuma kuangalia madaktari wamepokeaje hari ya Olimboka
Edson mambo hayaendi kwa kutukana wala kuleta dharau hoja hujibiwa kwa hoja....lete ushahidi hapa kama kweli polisi wamehusika na si viunginevyo...!! mbona unataka kulazimisha mambo hapa!
We ni Doctor ? unatuambia nini kuhusu watu waliokufa mapokezi kwa kukosa huduma katika mgomo uliopita? angekufa mama yako ungeelewa nnachoongea....Madaktari wengine hawana ubinadamu kabisa...mizimu ya wale watu itawafata hadi makuburini....vilaza wakubwa