Konakali
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 1,533
- 266
Yafuatayo yanawezekana kwa harakaharaka;
- Yaliyomkuta Ulimboka ni kama yale ya Igunga; ilipata kusdikika kuwa mauaji ya Igunga yalisababishwa na CCM pinzani ndani ya CCM tawala, hivyo bado kuna nafasi ya kuwa huenda yamesababishwa na serikali pinzani ndani ya serikali tawala, ili kuiweka serikali tawala in a hard situation mbele ya jamii...!
- Yaliyomkuta Ulimboka huenda yamesababishwa yamesababishwa na serikali baada ya kumuona kama threat katika utawala wao...! Lakini kama ndio hivi, basi binafsi nazidi kudhibitisha jinsi walivyodhaifu katika mikakati, maana hatua ya kumteka mtu na kumuachia akiwa hai, huku wamekwisha muumiza kiasi hiki ni uzembe wa kutupwa...!
- Huenda yaliyomkuta Ulimboka ni kama ya watu wengine wengi waliiopata kutekwa na kupigwa na hata kuuawa...! Hii ni kwa sababu naye ni binadamu, na anaweza akawa na vishawishi vya kuweza kumfanya afanyiwe hivyo...!
- nk