ITR JF-Expert Member Joined Sep 22, 2022 Posts 6,096 Reaction score 16,390 Jan 17, 2025 #1 Kuna huyu rais wa Iran ni mtu anaye penda kuvaa suti lakini cha kushangaza huwa havai tai. Yaani huwa ana vaa kama mshikaji fulani tu ,kiitifaki ikoje hii? Attachments 1737126012725.jpg 362.6 KB · Views: 4
Kuna huyu rais wa Iran ni mtu anaye penda kuvaa suti lakini cha kushangaza huwa havai tai. Yaani huwa ana vaa kama mshikaji fulani tu ,kiitifaki ikoje hii?
BonventureSr JF-Expert Member Joined Nov 16, 2023 Posts 879 Reaction score 1,432 Jan 17, 2025 #2 Acha Ushamba wewe Tai ni Mbwebwe tuu
Auto-Marvelt JF-Expert Member Joined Jul 13, 2019 Posts 1,653 Reaction score 3,336 Jan 17, 2025 #3 Tai ina kazi gani?? Ni sawa na soksi na mkanda sioni umhim wake. Cha msingi ni kupendeza tena tena bila kuvunja maadili
Tai ina kazi gani?? Ni sawa na soksi na mkanda sioni umhim wake. Cha msingi ni kupendeza tena tena bila kuvunja maadili
ITR JF-Expert Member Joined Sep 22, 2022 Posts 6,096 Reaction score 16,390 Jan 17, 2025 Thread starter #4 BonventureSr said: Acha Ushamba wewe Tai ni Mbwebwe tuu Click to expand... Mm nikajua suti bila tai haijakamilika.
BonventureSr said: Acha Ushamba wewe Tai ni Mbwebwe tuu Click to expand... Mm nikajua suti bila tai haijakamilika.
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 Jan 17, 2025 #5 Mbona kawaida sana hii Obama alikuwa havai hivyo na hata picha hii wapo maraisi watatu hawajavaa Tai Tai sio kuwa uchi
Mbona kawaida sana hii Obama alikuwa havai hivyo na hata picha hii wapo maraisi watatu hawajavaa Tai Tai sio kuwa uchi
BonventureSr JF-Expert Member Joined Nov 16, 2023 Posts 879 Reaction score 1,432 Jan 17, 2025 #6 ITR said: Mm nikajua suti bila tai haijakamilika. Click to expand... Hapana mkuu,
T Truth Matters JF-Expert Member Joined Apr 12, 2013 Posts 2,302 Reaction score 4,603 Jan 17, 2025 #7 Itifaki ni universal law? Nyie ndo wale majaji wanaovaa wigi za katani kama vichaa!
M Makwizi Band JF-Expert Member Joined Aug 19, 2024 Posts 1,535 Reaction score 2,565 Jan 17, 2025 #8 Watanzania tuna tabu sisi, khaa.
Makorokoro Bondeni JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 1,300 Reaction score 1,969 Jan 18, 2025 #9 Waswahili bwana,mi mwenyewe siwezi jinyonga na hizo kamba za shingoni.
M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 15,133 Reaction score 11,914 Jan 18, 2025 #10 BonventureSr said: Acha Ushamba wewe Tai ni Mbwebwe tuu Click to expand... Halafu nahisi ni kama ni ka utamaduni flani ka Waajemi kuvaa suti bila tai. Hata Ahmednajadd alikuwa havai tai.
BonventureSr said: Acha Ushamba wewe Tai ni Mbwebwe tuu Click to expand... Halafu nahisi ni kama ni ka utamaduni flani ka Waajemi kuvaa suti bila tai. Hata Ahmednajadd alikuwa havai tai.