Kiongozi wa team kiba instagram akamatwa, anaejiita shilolekiuono

Kiongozi wa team kiba instagram akamatwa, anaejiita shilolekiuono

Sitak kuamini kama na ww unamuamin yule limbukeni aliye kuja mjini na gali la nyanya mshamba uyo dengue wakuja afu anasumbua watu mjini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unajua me Shida yangu kubwaaaaa n kuunga dots story ikamilike siamini yeyote hata kivuli changu hunikimbia Giza likiaanza
1479500739752.png
 
Ndo nashangaa kajipa kazi ya upolice hivi huyo dogo likimpata baya siataubeba huo msala mwenyewe. Maana wamemrokodi sebuleni na pingu juu sijaona police pale.
BAdo hujajua issue ilivyo yule nasikia kachomwa na wastara kwaiyo pale ni eneo LA tukio imean alipokamatiwa
 
Uzuri umetambua nipo out of ur content, kwa maana nyingine unataka kututoa nje ya mada, na ndio maana nilikushsuri ujadili mada iliyopo
Sasa wewe ni nani wakupangia Mimi cha Ku comment, wewe kujadili mada inatosha kabisa uko free kufanya hivo hunyimwi, hili ni jukwaa huru kabisa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unajua me Shida yangu kubwaaaaa n kuunga dots story ikamilike siamini yeyote hata kivuli changu hunikimbia Giza likiaanzaView attachment 436187
Mange mnafiki huyu mbona huanza kutukana hata watu wasio husika watoto wazee wa watu hata kama hawajamkosea. Eti naye anashangaa matuc hayo
 
Sasa wewe ni nani wakupangia Mimi cha Ku comment, wewe kujadili mada inatosha kabisa uko free kufanya hivo hunyimwi, hili ni jukwaa huru kabisa.
Team kkoo ktk ubora wako!
Twende tukaanzishe thread yetu mimi na wewe tusijaze vitu visivyohusiana na hii mada iliyoletwa maana tupo huru ati!!
 
BAdo hujajua issue ilivyo yule nasikia kachomwa na wastara kwaiyo pale ni eneo LA tukio imean alipokamatiwa
Hyo nimeiskia ila wameshirikiana na sallam ili kumpata huyo shilole. Mara wengine ni shishi ndo kamshitaki hata huyo mwenye matusi inaonyesha bado kijana sio mkubwa kivile hajui hata life linaendaje huyo.
 
Team kkoo ktk ubora wako!
Twende tukaanzishe thread yetu mimi na wewe tusijaze vitu visivyohusiana na hii mada iliyoletwa maana tupo huru ati!!
Kwahyo mkuu wewe ni timu gani mana sina timu yoyote Mimi. Maana mnaojidai mnatimu hamna mbele wala nyuma mnategemea kutukana huko insta mpate followers ili mtangaze vijibiashara uchwara
 
Hizi team zitatuua jamani unamtukana diamond mwenzio ananunua nyumba South Africa unamtukana kiba ndo kwanza Sony wanamtafuta wampe mihela we unabaki "team simbaaaaaa" simba gani daily unakula makande!!!utaskia mwingine "team kingiiiiiii" unajiita King na hujawahi kuwa hata monita wa darasa shule ya msingi shenz typ
 
Mange hana uraia Wa ki marekani.kwa maelezo yake mwenyewe.hataki kuchukua uraia wa huko kwani atapoteza Mali zake ( ardhi tanzania) mimi najiuliza huku kutukana watu hawachoki miaka nenda miaka rudi . mtu anaetukana Tukana ovyo ana frustration zake za maisha
Kwani yule anatukana au anasema ukweli kuhusu mambo fulani!
 
Hizi team zitatuua jamani unamtukana diamond mwenzio ananunua nyumba South Africa unamtukana kiba ndo kwanza Sony wanamtafuta wampe mihela we unabaki "team simbaaaaaa" simba gani daily unakula makande!!!utaskia mwingine "team kingiiiiiii" unajiita King na hujawahi kuwa hata monita wa darasa shule ya msingi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] usiku mwema!!
 
Back
Top Bottom