BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Mie na wewe si tunafanana tu...... hivyo tutakuwa woteNadhani nawe inabidi uwe makini sioni tofauti yako na yeye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie na wewe si tunafanana tu...... hivyo tutakuwa woteNadhani nawe inabidi uwe makini sioni tofauti yako na yeye
Hilo nimeligundua wasaniiii hawahawa ndio huleta uteam kunapost ya shilole official Ommy dimpoz kalike s utahira huuNdo ujue hizi timu zinapewa support na wasanii wenyewe sasa dai kachelewa kumu unfollow wanakimbilia kulaumu timu moja ili waonekane wema sana
N Shida Kwa kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] aibu tupu!looh!
Yaani mnaniuzi sana kuwa mnampiga majungu domo anawafanyia figisu hiv kiba na mond nani mtangulizi kwny mzikiroho mbaya tuu[emoji57] [emoji57] [emoji57] yaani jiulize sasa....?!!
Aendelee kumfollow...View attachment 436183mambo makubwaaa diamond kamunfollow duller
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daahMie na wewe si tunafanana tu...... hivyo tutakuwa wote
Kuna nini huko kwani? Nawaona tu na babu yenu le temboz hapaSipendi unafiki mm!
Tuache double std...!!
Yaani mnaniuzi sana kuwa mnampiga majungu domo anawafanyia figisu hiv kiba na mond nani mtangulizi kwny mziki
Unafikiri wataliona hilo basi lkn ingekuwa mond maneno yangewatoka kama nnHilo nimeligundua wasaniiii hawahawa ndio huleta uteam kunapost ya shilole official Ommy dimpoz kalike s utahira huu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asante nimechekaaa....!!!sanaKuna nini huko kwani? Nawaona tu na babu yenu le temboz hapa
Utimu umekujaa mpk hujielewi nn unaongeanakuuzi ndo nini?!!!!sasa...onhea vzri!!!
Nilitaka nikupe somo lakini naona akili yako ina matege, kwa kukupa wazo kidogo linganisha unachoandika na maudhui ya hii madaNdo maana mziki wetu hauendelei hivi wasanii wengi wakifanikiwa kuna shida, a focus na mtu wake tu mpanga riziki ni Mungu, tu Mara awe back stage sijui afatiliwe hichi sasa na kufatilia ya timu kiba na kuacha timu mond ina maana gani?
mpuuzi tu na yy hawa wasanii wapuuzi sana yaani looh!Hilo nimeligundua wasaniiii hawahawa ndio huleta uteam kunapost ya shilole official Ommy dimpoz kalike s utahira huu
wakamatwe tuu!wote wanaotukana!Huu ndo umekuwa mwanzo...
Hata hao TM MOND wanaotukana wakamatwe tu.
Mtu unamtukana mpaka mama ake,, ndugu hadi jamaa zake wa karibu... Huu sio utu kabisa
Sie yetu machompuuzi tu na yy hawa wasanii wapuuzi sana yaani looh!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kaaaaazi kweli kweliAendelee kumfollow...
Au ndio kajua leo kuwa anatukana???
Na walipomkamata hawakumpeleka police wamemshika Jana walipooona watumwanakwenda oysterbay ndio wakampeleka kituoni Leo jioni since Jana lad Leo wamemfanyaje huyo kijana sallam sk ameanza Na huyo amalizie Na kina duller marashi ya Pemba amehakiwa Ila nae anakichambo cha mwambao Na tumatusi ndani yakeUnafikiri wataliona hilo basi lkn ingekuwa mond maneno yangewatoka kama nn
OK, kumbe unamaanisha wanafanana uzito wa kosa, sikukupata. bora sijawahi kuyaona, maana huyu shilole alivyotoa mitusi ya kuchefua huwezi hata kula.Sio uteam
Ushawahi kiyaona matusi ya dullasquare wewe????
Lazima utazima simu