Kiongozi wa team kiba instagram akamatwa, anaejiita shilolekiuono

Kiongozi wa team kiba instagram akamatwa, anaejiita shilolekiuono

ost: 18538118, member: 346444"]Nipo dada yangu yaani hizi teknolojia hizi kuna mambo yananifanya nikumbuke posta na simu zile za kidungu nyeusi hizi unazunguusha namba dah ilikuwa ndio mawasiliano hayo mtaa mzima unakuta nyumba moja ndio ina huduma hiyo.
Sasa siku hizi pana faida kuwa na hii huduma ila matakataka pia mengi kama haya ya kina nyonga sijui kiuno kisha mtoto wa kiume anaporomosha maneno mazito kama hivi.[/QUOTE]
msiba mzito sana huu!

siku hizi kulea mtoto wa kiume ni kazi kuliko mtoto wa kike!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kashafulia yulee
Hata wema ni chizi kulalwa na huyo kiuchafu
mange mjanja yule yuko nje ya nchi!
Na anavotukana inaonesha waz maisha yake Na jinsi anaishi me ntafrahi akidakwa mange tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] napitiaga Kwa semausikikeoriginal nacheka sanaa
wanawake wenywe kina wema ndo wanampa kick
hivi wema alianzaje labda aisehhh!
Calisah n mtafta Kiki hajitambui
 
nimegundua hilooo!!
Ndo maana mziki wetu hauendelei hivi wasanii wengi wakifanikiwa kuna shida, a focus na mtu wake tu mpanga riziki ni Mungu, tu Mara awe back stage sijui afatiliwe hichi sasa na kufatilia ya timu kiba na kuacha timu mond ina maana gani?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kashafulia yulee

mange mjanja yule yuko nje ya nchi!

wanawake wenywe kina wema ndo wanampa kick
hivi wema alianzaje labda aisehhh!
Wema afulie Mara ngapi wahongaji wamemkimbia wote chezeiya mashauzi ya kumnunulia mbwa vinguo million tano sasa hivi anatumia Bajaji. Nikikumbuka alivomgomeaga dai zawadi ya ile gari
 
Ndo maana mziki wetu hauendelei hivi wasanii wengi wakifanikiwa kuna shida, a focus na mtu wake tu mpanga riziki ni Mungu, tu Mara awe back stage sijui afatiliwe hichi sasa na kufatilia ya timu kiba na kuacha timu mond ina maana gani?
nimedharau rasm Leo huyo salaam,sijui habari gani!!!!
 
hawezi kazi ashazoea kuhongwa..

madanga mjini yamekata..!
Wema afulie Mara ngapi wahongaji wamemkimbia wote chezeiya mashauzi ya kumnunulia mbwa vinguo million tano sasa hivi anatumia Bajaji. Nikikumbuka alivomgomeaga dai zawadi ya ile gari
 
majungu at work...!unamjua duller square...?!

zarinah soldier...?

zarimond platinum?!!

coffee table...?!!
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] double std...

kumbe wewe ni team Fulani!!

siungi mkono matusi!

Karudie ile post, umefanya kitu ambacho nimesema tim kiba mnacho, sasa umepanic nn!!?

sija sema kuwa timu platnumz ndio hawatukani, wala sija sema mtu kama shabiki wa diamond asishtakiwe. Mi nimetembea na mada, kwani tukimtaja Kiba lazima tumtaje na Domo!!?

Unaruhusiwa kuwa shabiki bas ji control soma post taratibu halafu ujue nia yangu ni nini. Ukiona huelewi unauliza, sasa we umeleta majumuisho eti majungu!!!

Kama timu diamond ina watu wana tukana haiwafanyi tim kiba kuonekana wako sahihi wakitukana, au mtu wa kiba akikamatwa kuonekana ana onewa.

Whats wrojg with you girl!!!?

NB.
Sina tim
 
Back
Top Bottom