Rai yangu kwa vijana wa Dsm hebu rudisheni heshima ya WANAUME kwa maana ya kufanya kazi na kuachana na too much talks and nonsense zisizo na Tija kwa Taifa hasa kwa ujumla.
Mimi sioni haja ya kupamabana na ******** kwa maana ya kusema eti au kuiatana polisi kufungua kesi za matusi au kashfa.
Kesi zina gharama zake ikiwemo fedha,muda ambao ni ghali sana wekeni concentration kwenye mambo ya msingi na yenye Tija kwa Taifa hasa.
Simtetei mualifu yeyote yule endapo itathibitika kisheria kuwa ni mualifu, mimi simfahamu huyo dogo na hata sipo kwenye mitaondao mingine ya Kijamii isiyo na Tija au kuwa na nonsense chats.
Vijana wa Dsm mmekuwa kwenye kundi la waongeaji sana bila vitendo hadi inatia aibu....na maongezi yenu mengi ni mambo ya ajabu,si wahukumu kwa hili au sina maana ya vijana wote mlivyo ila ni wengi wenu na mmepitiliza.
Kwa mkoa ninaotoka wanaume hatuzungumzi ovyo na sana zaidi ya vitendo...hebu badilikeni kutunza heshi ya Mungu aliyotupa sisi wanaume.
Andiko langu ni baada ya kusoma posts zenu na kushabikia mambo yasiyo na msingi eti mtu utoke Mfano Mkoani uje umfungulie mtu kesi na hata kama upo Dsm lazima ufanye consideration ya TOTAL COST TO FILE A CASE AS LONG NO CASE WITHOUT COST.
PLEASE DSM GUYS CHANGE VERY ASAP TO RESTORE MAN POWER & RESPECT, WAACHIA MAMLAKA HUSIKA MSIPOTEZA WAKATI.