Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] upo..kaka...!!Bado nawaza huu ujasiri wa kijana wa kiume kujiita shilolekiuno sijui unatoka wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] upo..kaka...!!Bado nawaza huu ujasiri wa kijana wa kiume kujiita shilolekiuno sijui unatoka wapi?
Aya timu daimond umesomekaHivi we kwa akili yako unafikiri SUZAN KAGANDA atasema kwamba shilolekiuno wamemkamata?!
Planetbongo wamekurupuka..walitakiwa wamuulizie kwa jina lake la kwenye cheti na sio jina la shilolekiuno,hilo sio jina la kiserikali lazima Suzan akatae...
Halafu angekubali wangeleta Jam pale kituoni
Kwahiyo kusaidia kukamata waharifu ndo figisufigisu?hapo ndo ukiyaka kujua salaam SK alikua na beef zake
yasemekana wanamlazimisha aseme kua alikua analipwa na kiba ili amharibie jina..
kuna watu wana roho mbaya katuzo kamtv kamoja tu fitna zimeanza angepata NNE ...je?
sasa hapa ndo nimeamini kweli sallaaam ni mtu wa figisufigisu!
Bado kijana sana huyu... Sidhani hata umri wake anajua mziki mzuri ni Upi.. Nadhani Polisi wampe kibano Then wamwache... Wengne kisago ni adhabu tosha kwaoShabiki maarufu instagram wa alikiba na anaejiita kiongozi wa team kiba hatimae amekamatwa na jeshi la polisi kwa kutukana na kukashifu watu mbali mbali mtandaoni, kijana huyo amekuwa akiandika matusi mazito na kukashifu watu mbalimbali
View attachment 435882
View attachment 435883
View attachment 435884
View attachment 435885
Leo ndo kaona matusi[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] ....!!Kwahiyo kusaidia kukamata waharifu ndo figisufigisu?
Kwenye mambo kama haya ondoa ushabiki
Hizi timu zote ukiwaangalia ni watu waliojichokea na wasanii wanawaendekeza wenyewe. In short hizi timu ni jipu zinahtaji kunyooshwa watanzania walikurupukia matumizi mabaya ya mitandaoWasanii wapuuzi sana wanashidwa kuwakemea nahisi wanaogopa kupoteza followers.Hasa mtu kama Kiba hamfollw mtu yoyote Lakini watu mishipa ya shingo inawasimama kutukana kwa sababu yake.
Yani tena hyo timu zarina kuna kipindi walikua wanamtukana mama diamond, ili kuwakomesha ni kuwashtaki tu maana huyo coffee table ni account nyingine ya baby yakemajungu at work...!unamjua duller square...?!
zarinah soldier...?
zarimond platinum?!!
coffee table...?!!
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] double std...
kumbe wewe ni team Fulani!!
siungi mkono matusi!
Huu ndo umekuwa mwanzo...Leo ndo kaona matusi[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] ....!!
akamate wote wanaotukana sio yule tu!!!
ukweli ndo huo mnafiki tu!
japo mi naona bora kakamatwa maana labda itawaogofesha kina dula square..mana wanaume wanatukaa km machokoo!
wapumbavu sana Ila ukitak kujua saallam na daimondi ni machizi si wangewashtaki sasa..Yani tena hyo timu zarina kuna kipindi walikua wanamtukana mama diamond, ili kuwakomesha ni kuwashtaki tu maana huyo coffee table ni account nyingine ya baby yake
Huu ndo umekuwa mwanzo...
Hata hao TM MOND wanaotukana wakamatwe tu.
Mtu unamtukana mpaka mama ake,, ndugu hadi jamaa zake wa karibu... Huu sio utu kabisa
Huyo diamond kamu unfollow kabisa duller square Leo na mwingine zarinas sijui nani, tena kipindi wanamtukana mama yake alipiga kimya. Hawa wasanii wetu waacha kuendeleza upuuzi kwa kuogopa eti ushabiki. Mbona nje kina Beyonce wana timu zao lakini huwezi kuta wanaingiliwa private life lao, wao Ku post kazi zao tu basi, ila kibongo bongo hawa mashabiki wanajua had vyumba vya mastar. I wish wapuuze wote watukanaji wakamatwe.wapumbavu sana Ila ukitak kujua saallam na daimondi ni machizi si wangewashtaki sasa..
kaahhh!yani mtu anamtukana mzazi wako halafu eti unakaa kimya..Leo huyo salaam anaenda shtaki..mnafiki wa mwendo kasi..!!
baby ake...cofee wanawatukana wazazi wadaimondi hawashtaki..
upuuzi Ila bora wakamatwe!
Huyo diamond kamu unfollow kabisa duller square Leo na mwingine zarinas sijui nani, tena kipindi wanamtukana mama yake alipiga kimya. Hawa wasanii wetu waacha kuendeleza upuuzi kwa kuogopa eti ushabiki. Mbona nje kina Beyonce wana timu zao lakini huwezi kuta wanaingiliwa private life lao, wao Ku post kazi zao tu basi, ila kibongo bongo hawa mashabiki wanajua had vyumba vya mastar. I wish wapuuze wote watukanaji wakamatwe.
Kama huyu duller square weka mbali na watoto mkuu[emoji20] tusi moja tu unazimia [emoji33] akikupiga la pili unarest in peace[emoji125]majungu at work...!unamjua duller square...?!
zarinah soldier...?
zarimond platinum?!!
coffee table...?!!
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] double std...
kumbe wewe ni team Fulani!!
siungi mkono matusi!
Kamu unfollow Leo hii sasa ka huyo shilole alikua na matusi makubwa mno kupita kiasi, hafu ukimuona ni mtoto tu, huyo duller square hata T-shirt ya kuvaa tu anakosa kajichokea mwenyewe. Mi napenda wakamatwe wote hafu kuwadaka ni kuwahadaa tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] mwanzo alikua anamfollow umeona eehhh...?!
so means anatetea matusi ya kina duller...?!!
WTF....!!!!
Ila wapuuzi hapa watatetea hayo..
duller anamuita daimond mmewe..![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...!!
yetu macho sie wambea!
Calisah kumbe kakomaa hivo full makunyanzi, ila wema wolper jokate ilikuaje wamvulie pichu aibu nyinginenamuangalia kalisa mie
Yule fundi mitambo ni jipu lingine kwenye muziki[emoji32]hapo ndo ukiyaka kujua salaam SK alikua na beef zake
yasemekana wanamlazimisha aseme kua alikua analipwa na kiba ili amharibie jina..
kuna watu wana roho mbaya katuzo kamtv kamoja tu fitna zimeanza angepata NNE ...je?
sasa hapa ndo nimeamini kweli sallaaam ni mtu wa figisufigisu!
Anashindwa kuficha chuki naye kwahyo hataki wasanii wengine wafanikiwe. Naye ajitazameYule fundi mitambo ni jipu lingine kwenye muziki[emoji32]