IamInLoveWithElders
Member
- Nov 18, 2016
- 55
- 43
Mange hawamuwezi...yupo Ulaya kwa anko TrumoTrumpSamaritan: 18529713 said:Hii iwe fundisho kwa wanaotumia vibaya social media. Wamkamate na Mange.
Ndugu sio frustration, ile ni kazi km zingine na unalipwa. Huonagi bada ya matusi utaona amepachika: "mafuta ya kutoa mba!"?Mange hana uraia Wa ki marekani.kwa maelezo yake mwenyewe.hataki kuchukua uraia wa huko kwani atapoteza Mali zake ( ardhi tanzania) mimi najiuliza huku kutukana watu hawachoki miaka nenda miaka rudi . mtu anaetukana Tukana ovyo ana frustration zake za maisha
Tuwekeeni Basi hizo screenshoot hapa tufaidi na sisi wengine hatupo instWamechoma moto Tshirt na Cap za Wcb Watu wakampotezea...ameitusi familia nzima ya Diamond na wasanii wake,watu wakampotezea pia..
Akaona haitoshi sasa ni kuchafua mpaka Perfume ambayo haijaingia hata sokoni yeye kaanza kuitia nuksi[emoji48]
Ashitakiwe tu kwakweli amezidi sana
Hii iwe fundisho kwa wanaotumia vibaya social media. Wamkamate na Mange.
Alishaimba mtu: wanamsema mmoja ili kumshusha mwingine,lkn Hawajui Mungu anapanga nn!!Team Kiba wanakuwaga na matusi halafu wana panic sana, hata humu jf wako hivo hivo.
NB
Niko tim Tanzania
Huenda kiba ataenda kumtoaHayo ndio matokeo ya ushabiki maandazi ngoja tusubiri tuone kama Alikiba ataenda kumsaidia!
Nakusahihisha ndugu..huyu dogo kwao Mwanza,Dar kaja kutafuta ugali kama sisi wengine tulivyo.Rai yangu kwa vijana wa Dsm hebu rudisheni heshima ya WANAUME kwa maana ya kufanya kazi na kuachana na too much talks and nonsense zisizo na Tija kwa Taifa hasa kwa ujumla.
Mimi sioni haja ya kupamabana na mpumbavu kwa maana ya kusema eti au kuiatana polisi kufungua kesi za matusi au kashfa.
Kesi zina gharama zake ikiwemo fedha,muda ambao ni ghali sana wekeni concentration kwenye mambo ya msingi na yenye Tija kwa Taifa hasa.
Simtetei mualifu yeyote yule endapo itathibitika kisheria kuwa ni mualifu, mimi simfahamu huyo dogo na hata sipo kwenye mitaondao mingine ya Kijamii isiyo na Tija au kuwa na nonsense chats.
Vijana wa Dsm mmekuwa kwenye kundi la waongeaji sana bila vitendo hadi inatia aibu....na maongezi yenu mengi ni mambo ya ajabu,si wahukumu kwa hili au sina maana ya vijana wote mlivyo ila ni wengi wenu na mmepitiliza.
Kwa mkoa ninaotoka wanaume hatuzungumzi ovyo na sana zaidi ya vitendo...hebu badilikeni kutunza heshi ya Mungu aliyotupa sisi wanaume.
Andiko langu ni baada ya kusoma posts zenu na kushabikia mambo yasiyo na msingi eti mtu utoke Mfano Mkoani uje umfungulie mtu kesi na hata kama upo Dsm lazima ufanye consideration ya TOTAL COST TO FILE A CASE AS LONG NO CASE WITHOUT COST.
PLEASE DSM GUYS CHANGE VERY ASAP TO RESTORE MAN POWER & RESPECT, WAACHIA MAMLAKA HUSIKA MSIPOTEZA WAKATI.