Kiongozi wa team kiba instagram akamatwa, anaejiita shilolekiuono

Kiongozi wa team kiba instagram akamatwa, anaejiita shilolekiuono

[QUOTEwaalloboy, post: 18529586, member: 367960"]Wala sikuwahi kufikiri mitusi yote hiyo alokuwa anaitoa atakuwa mwanaume , mungu atuepushie vijana wetu.[/QUOTE]
kwani wanawake tu ndo wana midomo teh teh teh
 
Mange hana uraia Wa ki marekani.kwa maelezo yake mwenyewe.hataki kuchukua uraia wa huko kwani atapoteza Mali zake ( ardhi tanzania) mimi najiuliza huku kutukana watu hawachoki miaka nenda miaka rudi . mtu anaetukana Tukana ovyo ana frustration zake za maisha
Ndugu sio frustration, ile ni kazi km zingine na unalipwa. Huonagi bada ya matusi utaona amepachika: "mafuta ya kutoa mba!"?
 
Aiseee nimepitia hiyo account ya shilole kiuno matusi kibao daaaah watu sio waoga vile

Kwakweli kama jamii kimaadili tumefika pabaya
 
Wamechoma moto Tshirt na Cap za Wcb Watu wakampotezea...ameitusi familia nzima ya Diamond na wasanii wake,watu wakampotezea pia..

Akaona haitoshi sasa ni kuchafua mpaka Perfume ambayo haijaingia hata sokoni yeye kaanza kuitia nuksi[emoji48]

Ashitakiwe tu kwakweli amezidi sana
 
Mange so Kada Wa chama aliwahi kucukua form kugombe ubunge viti maalum. Wanamlia timing tuu ataletwa siku so nyingi usicheze na jamhuri
 
Safi sana serikali. Hii tabia watu hata huwajuwi unaanza kuwaporomoshea matusi ilitaka kuanzia kushika kasi.
Kamateni wote iwe timu yeyote ile.
 
Wamechoma moto Tshirt na Cap za Wcb Watu wakampotezea...ameitusi familia nzima ya Diamond na wasanii wake,watu wakampotezea pia..

Akaona haitoshi sasa ni kuchafua mpaka Perfume ambayo haijaingia hata sokoni yeye kaanza kuitia nuksi[emoji48]

Ashitakiwe tu kwakweli amezidi sana
Tuwekeeni Basi hizo screenshoot hapa tufaidi na sisi wengine hatupo inst
 
HUYU JAMAA KAMA NAMFAHAMU VILE NI BLOGGER MZURI SANA
 
Hii sheria ya mitandaoni sio kwamba polisi wanakurupuka tuu asubuhii Leo tuanze kuwatafuta wanaotukana insta Ila ni kuwa mtu akikushtaki na akaanza kukufuatilia kwa kushirikiana na TCRA + polisi lazima watakukamata hasaaa kama alie kushtaki ana pesa na anafahamika lazima wakukamate

Ndo maana unaona kuna wanao tukana wanaendelea kuwepo na wengine wakitukana tuu on spot unashikwaa!!!! Sasa Huyuu alikuwa anawatukana shilole hata kabla ya WCB ndo maana shilole ilimuuma akawa ana msaka wakaweka nguvu na WCB nzima na LE MUTUZI ilikuwa lazima Ashikwe tuuuuu...kwa sababu nia ya kumfuatilia walikuwa Nayo na pesa walikuwa Nazo!!! TCRA Ni wasumbufu kama huna hela wewe jaribu kwenda waambie Fulani ananitukana na hitaji akamatwe utakavyo sumbuliwaa....

Ila ni wakati wa vijana kuacha kutukana mitandaoni ni rahisi sana MTU kushikwa tufanye ushabiki wenye maana sasa kama huyo anaonekana ni dogoo tuu hata maisha hayajui then ni kama anatokea kijijini tuuu hata kuvaa maskini ya Mungu hajui na sijui hela ya bundle sijui anaitoaga wapi ni mchovu sana ni kama anasomaaa

Now anawaingiza wazazi wake kwenye Matatizoo......ukimuliza ulio kuwa unawatukana wamekukosea nn hana cha kusema!!! Ila sisi binadamu buanaaa hivi hata Bangi mtu akivuta huwa hazimtumii kufanya alio kuwa anafanya huyu Dogo....hapo utasikia nisameheni au utasikia WCB wakorofi kweli???

Matusi alio kuwa anatukanwa mama ake Diamond mmmmmmmhh hata mm uvumilivu ungenishindaaaa ningeua MTU aisee
 
Kwani mange kimambi amewashinda au naye dawa yake bado inachemka? Trump please turudishie huyo mtu
 
Rai yangu kwa vijana wa Dsm hebu rudisheni heshima ya WANAUME kwa maana ya kufanya kazi na kuachana na too much talks and nonsense zisizo na Tija kwa Taifa hasa kwa ujumla.
Mimi sioni haja ya kupamabana na mpumbavu kwa maana ya kusema eti au kuiatana polisi kufungua kesi za matusi au kashfa.

Kesi zina gharama zake ikiwemo fedha,muda ambao ni ghali sana wekeni concentration kwenye mambo ya msingi na yenye Tija kwa Taifa hasa.
Simtetei mualifu yeyote yule endapo itathibitika kisheria kuwa ni mualifu, mimi simfahamu huyo dogo na hata sipo kwenye mitaondao mingine ya Kijamii isiyo na Tija au kuwa na nonsense chats.
Vijana wa Dsm mmekuwa kwenye kundi la waongeaji sana bila vitendo hadi inatia aibu....na maongezi yenu mengi ni mambo ya ajabu,si wahukumu kwa hili au sina maana ya vijana wote mlivyo ila ni wengi wenu na mmepitiliza.
Kwa mkoa ninaotoka wanaume hatuzungumzi ovyo na sana zaidi ya vitendo...hebu badilikeni kutunza heshi ya Mungu aliyotupa sisi wanaume.
Andiko langu ni baada ya kusoma posts zenu na kushabikia mambo yasiyo na msingi eti mtu utoke Mfano Mkoani uje umfungulie mtu kesi na hata kama upo Dsm lazima ufanye consideration ya TOTAL COST TO FILE A CASE AS LONG NO CASE WITHOUT COST.
PLEASE DSM GUYS CHANGE VERY ASAP TO RESTORE MAN POWER & RESPECT, WAACHIA MAMLAKA HUSIKA MSIPOTEZA WAKATI.
Nakusahihisha ndugu..huyu dogo kwao Mwanza,Dar kaja kutafuta ugali kama sisi wengine tulivyo.
Mengine sijui.
 
Tatzo anafanya hvo hana taaluma yyte ya computer aulze police kwa nn wameshndwa kumkamata tanzagiza hdi leo fanya kitu ukiwa na uhakika huwez kugundulika so imekula kwake huyo atulie tu sheria ifanye yake maan sio kwa mitusi ilee
 
mvulana tena hana akili na hana kazi ya kueleweka huyu..utadhani jidada kumbe haka kavulana...technology raha sana utadakwa tu kama hujielewi
 
Back
Top Bottom