Kiongozi wa team kiba instagram akamatwa, anaejiita shilolekiuono

Kiongozi wa team kiba instagram akamatwa, anaejiita shilolekiuono

Sijui hiyo imekaaje lakini for what I know, back in days baada ya diamond kukosa tuzo ya BET baadhi ya mashabiki walivamia account ya black coffee na kuanza kutukana, kuna msg ililetwa kwenye groups za WCB ikitoka kwenye uongozi wa Diamond kuwataka mashabiki waache kutukana na sio mara moja ni mara nyingi sana hili huwa linatokea, mashabiki wakipanick uongozi unatoa onyo jamani acheni matusi, lakini je matusi yamekoma? Nataka kusema hivi kumkataza mtu kutukana ni jambo moja na mtu huyo kuacha kutukana ni jambo lingine, kwahiyo hao unaodai wanafahamiana na kiba inawezekana alishawakataza kutukana lakini tukumbuke kila mtu anamiliki simu yake na bundle lake na anaweza kupost chochote muda wowote.
Mkuu ni sawa unalolisema ila Alikiba mimi nahisi anayapenda haya mambo ya ubishi ubishi...mbona walivyoenda kumtukana Wizkid kwa page yake Alikiba aliwakataza mashabiki na kweli hawakuendelea tena kumtusi?!

Kinachofanya watu tuunganishe Dot ni kwamba alikiba anafahamiana nao hawa watu vizuri sana,na picha anapiga nao...

Siwezi kusema yote kwasababu kesi ipo kwenye vyombo vya sheria tuwaachie wao..
 
Duh huyu dogo alikua na mitusi bora amekamatwa, bado yule wa upande wa pili duller square
 
- Nimeenda na kumuona kwa macho yangu uso kwa uso nikamuuliza vipi unanifahamu akasema hapana zaidi ya kuniona kwenye mitandao, Mahabusu wenzake kupitia dirishani wakaniuliza kafanya nini nikawaambia wakaniambia tuachie huyo we kampumzike masikini ya Mungu macho mekundu yamemtoka, na ameanza kuwataja waliokuwa wanamlipa kutukana watu kwao ni Mwanza ila huwa anakuja kuja Dar kwa kulipiwa nauli na hao waliokuwa wanamtuma, sasa ni kuhamasisha tu watu waliowahi kutukanwa naye ambao ni wengi sana wakafungue kesi pale Ostabey!!

le Mutuz
Kinachonisikitisha ni huyu dogo kuishia jela na umri huo, kisa tu kalipwa kutukana wenzake. What a shame!
 
I concur, mi sidhani kama kiba na management yake wanahusika na chochote katika hili, nadhani ni failures ndio waliokuwa wakimtumia huyu kijana. Time will tell
Insta kuna watu wanatukana wala hawajatumwa na yeyote ila kuna wengine wanatumwa kabisa.
Mtu akutukane wew mwenyew sio kutukana wazazi hapo uzalendo utaisha tu
 
- Nimeenda na kumuona kwa macho yangu uso kwa uso nikamuuliza vipi unanifahamu akasema hapana zaidi ya kuniona kwenye mitandao, Mahabusu wenzake kupitia dirishani wakaniuliza kafanya nini nikawaambia wakaniambia tuachie huyo we kampumzike masikini ya Mungu macho mekundu yamemtoka, na ameanza kuwataja waliokuwa wanamlipa kutukana watu kwao ni Mwanza ila huwa anakuja kuja Dar kwa kulipiwa nauli na hao waliokuwa wanamtuma, sasa ni kuhamasisha tu watu waliowahi kutukanwa naye ambao ni wengi sana wakafungue kesi pale Ostabey!!

le Mutuz
niambia baba la baba naona kijana wako kawa mpole
 
Nimesoma post yake ya kuhusu perfume ya Chibu daaah, huyu dogo ana laana kwa kweli. Maana kwa akili za kawaida huwezi kutukana namna hiyo.
Yaani ana matatizo si kidogo... mi nilikuwa simfahamu kabisa lakini nilipotembelea hiyo a/c, duh!
 
I concur, mi sidhani kama kiba na management yake wanahusika na chochote katika hili, nadhani ni failures ndio waliokuwa wakimtumia huyu kijana. Time will tell
Insta kuna watu wanatukana wala hawajatumwa na yeyote ila kuna wengine wanatumwa kabisa.
Wengi wanatukana ili wapate followers............

(Ina maana watz wanapenda matusi na vichambo)

Kisha waanze matangazo

Sidhani kama wana uhusiano na wasanii...

Maana kama huyo kijana page yake kaandika yeye ni teamwema.....ila amemtukana matusi mazito ya nguo ya ndani kabisa
 
Acheni kutudanganya please,haya mambo tunafuatilia kwa undani,wewe mleta uzi ndo unatakiwa kukamatwa kwa kudanganya uma![emoji116] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
 
Attachments

  • 1479480810062.jpg
    1479480810062.jpg
    68.6 KB · Views: 41
Back
Top Bottom