Kiongozi wa team kiba instagram akamatwa, anaejiita shilolekiuono

Kiongozi wa team kiba instagram akamatwa, anaejiita shilolekiuono

Halafu mtu unajiweka eti team fulani!Zinawasaidia nini?Usipojitambua ni shida sana.
 
Wampeleke keko. ..nashauri awekwe ktk selo 1 na jibaba la haja limfi*e wiki tu
 
Lakini si ipo kinyume na sheria kupost picha ya mtu bila ridhaa yake lakini pia hata tuhuma husika hazijathibitishwa bado.
Hakuna hiyo sheria... kuna picha ambazo sheria inakataza ku-post; kwa mfano pornograph lakini sio kwamba kila picha inakatazwa!
 
Hii vita wcb mmeanzisha lakini mwisho wake ni mbaya kwenu kwanza team kiba wanaakili Sana Kama waliwakomalia MTV wakarudisha tuzo itakuwa huyo dulla kukamatwa halafu team kiba ni wachache ila wana ummoja
Wait and see what will happen baada ya kukamatwa shishi baby
 
Yaani bado unatetea ushuzi kama huu!
We unadandia gari kwa mbele tatizo hii mada imeanza Instagram sio jf fuatilia ujue chanzo kwanza usikurupuke tatizo la wa tz tuna kurupuka Kama issue ya scorpion kila MTU alijua scorpion Ana makosa mwisho wa siku kumbe ni virse vesa find the source
 
Insta kuna matusi ambayo hujawahi kuyasikia, hasa kwa hao mastaa uchwara wetu, halafu kama huyu upumbavu wake kuwa anatukana watu wakati huo Ana njaa account hiyo hiyo anayotukana watu Ndio anafanyia biashara, rahisi mno kumdaka,
Exactly, ndio maana kashikwa kama panzi
 
Hii vita wcb mmeanzisha lakini mwisho wake ni mbaya kwenu kwanza team kiba wanaakili Sana Kama waliwakomalia MTV wakarudisha tuzo itakuwa huyo dulla kukamatwa halafu team kiba ni wachache ila wana ummoja
Wait and see what will happen baada ya kukamatwa shishi baby
Hatari! Utetezi huo
 
yaani huyu mtoto nimeingia kwenye page yake hiyo silole kiuno IG sura yake na vitu alivyoandika haviendani hata kidogo.
kukosa elimu na shughuli ya maana ya kufanya ni janga la kitaifa. dah... maisha haya... matusi ya nguoni, mtoto mdogo anaandika bila hata aibu au woga.
Elimu ni ufunguo wa maisha
 
Shabiki maarufu instagram wa alikiba na anaejiita kiongozi wa team kiba hatimae amekamatwa na jeshi la polisi kwa kutukana na kukashifu watu mbali mbali mtandaoni, kijana huyo amekuwa akiandika matusi mazito na kukashifu watu mbalimbali
View attachment 435882
View attachment 435883
View attachment 435884
View attachment 435885

- Nimeenda na kumuona kwa macho yangu uso kwa uso nikamuuliza vipi unanifahamu akasema hapana zaidi ya kuniona kwenye mitandao, Mahabusu wenzake kupitia dirishani wakaniuliza kafanya nini nikawaambia wakaniambia tuachie huyo we kampumzike masikini ya Mungu macho mekundu yamemtoka, na ameanza kuwataja waliokuwa wanamlipa kutukana watu kwao ni Mwanza ila huwa anakuja kuja Dar kwa kulipiwa nauli na hao waliokuwa wanamtuma, sasa ni kuhamasisha tu watu waliowahi kutukanwa naye ambao ni wengi sana wakafungue kesi pale Ostabey!!

le Mutuz
 
Hii vita wcb mmeanzisha lakini mwisho wake ni mbaya kwenu kwanza team kiba wanaakili Sana Kama waliwakomalia MTV wakarudisha tuzo itakuwa huyo dulla kukamatwa halafu team kiba ni wachache ila wana ummoja
Wait and see what will happen baada ya kukamatwa shishi baby
duuu kwahiyo unasaport aliyokuwa anafanya!? kama kuna wengine acha wote wakamatwe.....matusi gani yale?
 
Back
Top Bottom