Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna hiyo sheria... kuna picha ambazo sheria inakataza ku-post; kwa mfano pornograph lakini sio kwamba kila picha inakatazwa!Lakini si ipo kinyume na sheria kupost picha ya mtu bila ridhaa yake lakini pia hata tuhuma husika hazijathibitishwa bado.
bado jemsi delishaz anatabia ya kutukana watu hatariView attachment 435897 hiki ndicho kilichomponza na wengine wapo humu wakamatwe
unamaanisha kuku mtamu[emoji2] [emoji2] [emoji2]Kwa muonekano tu atakua team Cameron
Yaani bado unatetea ushuzi kama huu!Hii vita wcb mmeanzisha lakini mwisho wake ni mbaya kwenu kwanza team kiba wanaakili Sana Kama waliwakomalia MTV wakarudisha tuzo itakuwa huyo dulla kukamatwa halafu team kiba ni wachache ila wana ummoja
Wait and see what will happen baada ya kukamatwa shishi baby
We unadandia gari kwa mbele tatizo hii mada imeanza Instagram sio jf fuatilia ujue chanzo kwanza usikurupuke tatizo la wa tz tuna kurupuka Kama issue ya scorpion kila MTU alijua scorpion Ana makosa mwisho wa siku kumbe ni virse vesa find the sourceYaani bado unatetea ushuzi kama huu!
Exactly, ndio maana kashikwa kama panziInsta kuna matusi ambayo hujawahi kuyasikia, hasa kwa hao mastaa uchwara wetu, halafu kama huyu upumbavu wake kuwa anatukana watu wakati huo Ana njaa account hiyo hiyo anayotukana watu Ndio anafanyia biashara, rahisi mno kumdaka,
Hatari! Utetezi huoHii vita wcb mmeanzisha lakini mwisho wake ni mbaya kwenu kwanza team kiba wanaakili Sana Kama waliwakomalia MTV wakarudisha tuzo itakuwa huyo dulla kukamatwa halafu team kiba ni wachache ila wana ummoja
Wait and see what will happen baada ya kukamatwa shishi baby
Amejihusisha au ame repostKiba na mondi kama ccm na chadema.....
haileti maana SALAAM kujihusisha!
Elimu ni ufunguo wa maishayaani huyu mtoto nimeingia kwenye page yake hiyo silole kiuno IG sura yake na vitu alivyoandika haviendani hata kidogo.
kukosa elimu na shughuli ya maana ya kufanya ni janga la kitaifa. dah... maisha haya... matusi ya nguoni, mtoto mdogo anaandika bila hata aibu au woga.
Shabiki maarufu instagram wa alikiba na anaejiita kiongozi wa team kiba hatimae amekamatwa na jeshi la polisi kwa kutukana na kukashifu watu mbali mbali mtandaoni, kijana huyo amekuwa akiandika matusi mazito na kukashifu watu mbalimbali
View attachment 435882
View attachment 435883
View attachment 435884
View attachment 435885
duuu kwahiyo unasaport aliyokuwa anafanya!? kama kuna wengine acha wote wakamatwe.....matusi gani yale?Hii vita wcb mmeanzisha lakini mwisho wake ni mbaya kwenu kwanza team kiba wanaakili Sana Kama waliwakomalia MTV wakarudisha tuzo itakuwa huyo dulla kukamatwa halafu team kiba ni wachache ila wana ummoja
Wait and see what will happen baada ya kukamatwa shishi baby