incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
Mkuu ni sawa unalolisema ila Alikiba mimi nahisi anayapenda haya mambo ya ubishi ubishi...mbona walivyoenda kumtukana Wizkid kwa page yake Alikiba aliwakataza mashabiki na kweli hawakuendelea tena kumtusi?!Sijui hiyo imekaaje lakini for what I know, back in days baada ya diamond kukosa tuzo ya BET baadhi ya mashabiki walivamia account ya black coffee na kuanza kutukana, kuna msg ililetwa kwenye groups za WCB ikitoka kwenye uongozi wa Diamond kuwataka mashabiki waache kutukana na sio mara moja ni mara nyingi sana hili huwa linatokea, mashabiki wakipanick uongozi unatoa onyo jamani acheni matusi, lakini je matusi yamekoma? Nataka kusema hivi kumkataza mtu kutukana ni jambo moja na mtu huyo kuacha kutukana ni jambo lingine, kwahiyo hao unaodai wanafahamiana na kiba inawezekana alishawakataza kutukana lakini tukumbuke kila mtu anamiliki simu yake na bundle lake na anaweza kupost chochote muda wowote.
Nendeni mkashtaki watakamatwa.Upande ule hawakamatwi[emoji125] nisije kamatwa
Nilivo muoga na vituo vya polisi ni kama jambazi sugu[emoji32] [emoji33] siwezi ng'aa hizo sehemu kumshitaki mtu over[emoji124]Nendeni mkashtaki watakamatwa.
Kinachonisikitisha ni huyu dogo kuishia jela na umri huo, kisa tu kalipwa kutukana wenzake. What a shame!- Nimeenda na kumuona kwa macho yangu uso kwa uso nikamuuliza vipi unanifahamu akasema hapana zaidi ya kuniona kwenye mitandao, Mahabusu wenzake kupitia dirishani wakaniuliza kafanya nini nikawaambia wakaniambia tuachie huyo we kampumzike masikini ya Mungu macho mekundu yamemtoka, na ameanza kuwataja waliokuwa wanamlipa kutukana watu kwao ni Mwanza ila huwa anakuja kuja Dar kwa kulipiwa nauli na hao waliokuwa wanamtuma, sasa ni kuhamasisha tu watu waliowahi kutukanwa naye ambao ni wengi sana wakafungue kesi pale Ostabey!!
le Mutuz
Mtu akutukane wew mwenyew sio kutukana wazazi hapo uzalendo utaisha tuI concur, mi sidhani kama kiba na management yake wanahusika na chochote katika hili, nadhani ni failures ndio waliokuwa wakimtumia huyu kijana. Time will tell
Insta kuna watu wanatukana wala hawajatumwa na yeyote ila kuna wengine wanatumwa kabisa.
Hivi unafikiri watu wanaofanya huu ujinga ni watu wa maana basi? ni cowards tu wanaotafuta njia mbadala ya kupambana na conflicts zao za ndani.
Hayo ni matumizi mabaya ya neno "superstar".Keshakua superstar,kibongobongo.
niambia baba la baba naona kijana wako kawa mpole- Nimeenda na kumuona kwa macho yangu uso kwa uso nikamuuliza vipi unanifahamu akasema hapana zaidi ya kuniona kwenye mitandao, Mahabusu wenzake kupitia dirishani wakaniuliza kafanya nini nikawaambia wakaniambia tuachie huyo we kampumzike masikini ya Mungu macho mekundu yamemtoka, na ameanza kuwataja waliokuwa wanamlipa kutukana watu kwao ni Mwanza ila huwa anakuja kuja Dar kwa kulipiwa nauli na hao waliokuwa wanamtuma, sasa ni kuhamasisha tu watu waliowahi kutukanwa naye ambao ni wengi sana wakafungue kesi pale Ostabey!!
le Mutuz
Yaani ana matatizo si kidogo... mi nilikuwa simfahamu kabisa lakini nilipotembelea hiyo a/c, duh!Nimesoma post yake ya kuhusu perfume ya Chibu daaah, huyu dogo ana laana kwa kweli. Maana kwa akili za kawaida huwezi kutukana namna hiyo.
Heee haya yote yamesemwa na mtoto wa kiume? Huyu wanamlaView attachment 435897 hiki ndicho kilichomponza na wengine wapo humu wakamatwe
Wengi wanatukana ili wapate followers............I concur, mi sidhani kama kiba na management yake wanahusika na chochote katika hili, nadhani ni failures ndio waliokuwa wakimtumia huyu kijana. Time will tell
Insta kuna watu wanatukana wala hawajatumwa na yeyote ila kuna wengine wanatumwa kabisa.
kwa hiyo na le mutuz ametudanganya ?Acheni kutudanganya please,haya mambo tunafuatilia kwa undani,wewe mleta uzi ndo unatakiwa kukamatwa kwa kudanganya uma![emoji116] [emoji17] [emoji17] [emoji17]