Kiongozi wa Waasi Syria Ahutubia Ulimwengu, Atuma Ujumbe Mahsusi kwa Iran, Atumia CNN, Na Siyo TV za Nchi za Kiarabu

Jolan sasa amekoka sio?
 
Ni vizuri amani irudi Syria. Miaka na miaka ni vita tu hata watu hawana amani.
Amani Syria ni ngumu sana. Isome na ifahamu Syria ilivyo. Binafsi sipati picha.
Tuanzie na nchi iliyomsaidia huyu komandoo kuntoa Assad, ni Uturuki. Ndani ya Syria kuna kikundi cha wa-Kurdi wanaosaidiwa na Marekani na Israel. Kikundi hiki ni Tishio kwa Uturuki na ututruki wanataka kisambaratishwe. Hapo maswali 100 kapuni ?
Mpaka leo Syria ni kama DRC -Kongo kuna vikundi zaidi ya 15 vyenye idiolojia tofauti na vyote vina silaha. Ni vipi utaviweka vikundi hivyo tofauti pamoja?
Nina muelewa Biden anaposema anasubiri matendo.
 
Ritz na sisi tutoe tamko sheikh wangu
 
Muda utaongea. Kwa kumwangalia anaweza kuongoza kipindi cha mpito na kuongoza uchaguzi wa kidemokrasia kweli?
 
Bidhaa kutoka Europe to Africa now will okay; Wa Huoth kwisha habari yake
 
Jolan ima achague uislam au achague ukafri

Ndugu zangu waislam tumtenge huyu sio wa Allah

Kwanni atumie CNN ya mayahud na makafiri?

Inshallah
Amegundua kuwa hao wengine ni hipocr
Nimeipenda.
Mimi huyo bashari asadi nilikuwa namchukia sana kwa sababu alikuwa adui wa waislamu wanaofuata madhehebu ya kissunni.
Ushia wake ndio uliokuwa unamfanya apate saport toka kwa washia wenzake wa Irani.
Duuuuuuhh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…