econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Aruhusu tu ndoa za jinsia mbili atakublika na Marekani bil shida yoyote
Sema democrats, sio marekani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aruhusu tu ndoa za jinsia mbili atakublika na Marekani bil shida yoyote
Alawites ni kakikundi ndani ya Shia.Assad ni allawites
Jolan sasa amekoka sio?Kiongozi mkuu wa Waasi, bwana Abu Jolani ametoa hotuba ambayo imetafsiriwa ililenga zaidi kuuambia Ulimwengu ni nini anakusudia kwa Taifa la Syria. Ameitolea hotuba yake ndani ya msikiti mkuu wa kale zaidi, msikiti wa Ummayad.
Aliichagua CNN kuirusha hotuba yake live, wachunguzi wa mambo wakidai kuwa aliulenga Ulimwengu, hasa nchi ya Iran, Marekani na Israel.
Kwa Iran, ujumbe wake upo wazi na umenyoka, kuwa Iran itambue kuwa Syria haitatumika tena kama nchi ya kuendeleza matakwa yake ya kuyajenga makundi ya kigaidi kama Hezbollah.
. “This new triumph, my brothers, marks a new chapter in the history of the region, a history fraught with dangers (that left) Syria as a playground for Iranian ambitions, spreading sectarianism, stirring corruption,” he said.
Lakini kwa upande mwingine alitaka kupeleka ujumbe kwa Marekani ambayo ilikuwa imetenga zawadi ya Dola 10 milioni kwa yeyote atakayesaidia kupatikana kwa yeye Abu Jolani alipokuwa mpiganaji wa Al Qaeda. Ni dhahiri anataka Marekani na Israel imwondoe kwenye orodha ya magaidi wanaotafutwa, kwa vile yeye ni mtu mstaarabu atakayeiongoza Syria kuelekea kwenye ustaarabu.
“Syria is being purified,” he said, referring to the country’s regional reputation as a narco-state, saying Assad’s Syria had “become the world’s leading source of Captagon,”.
Hotuba yake ilifuatiliwa na Rais Biden, ambaye baadaye ameeleza kuwa hotuba hiyo ni nzuri, lakini itabudi kusubiria matendo.
Speaking a few hours later, Biden said he had heard Jolani “saying the right things,” but insisted the rebel leader be judged by his actions.
Siku kadhaa zilizopita, Jolani akihojiwa na CNN alisema kuwa aliamua kujitenga na makundi ya wapiganaji wa Al Qaeda, kwa sababu hakuafiki kabisa matendo yao ya ukatili.
Tumwombee Abu Jolani na wenzake watakaounda Serikali, waipeleke Syria kwenye mwanga na amani. Syria ipo kwenye nafasi nzuri ya kukomesha makundi ya kigaidi ya Iran, kwani Iran haiwezi kuwafikishia silaha makundi ya kigaidi kama Hezbollah nchini Lebanon, bila ya kupitia nchini Syria.
S biblia tenu inasema amtegemeae mwanadamu. Vp tena katekista unasahau amtegemee marekani tenaAchape kazi ashirikiane na Marekani pamoja na Israel hakuna shida atapata
Amani Syria ni ngumu sana. Isome na ifahamu Syria ilivyo. Binafsi sipati picha.Ni vizuri amani irudi Syria. Miaka na miaka ni vita tu hata watu hawana amani.
Kana imani mchanganyiko, uislam wa kishia na vitu vingine'ambavyo uislam hautakiAlawites ni kakikundi ndani ya Shia.
Ritz na sisi tutoe tamko sheikh wanguKiongozi mkuu wa Waasi, bwana Abu Jolani ametoa hotuba ambayo imetafsiriwa ililenga zaidi kuuambia Ulimwengu ni nini anakusudia kwa Taifa la Syria. Ameitolea hotuba yake ndani ya msikiti mkuu wa kale zaidi, msikiti wa Ummayad.
Aliichagua CNN kuirusha hotuba yake live, wachunguzi wa mambo wakidai kuwa aliulenga Ulimwengu, hasa nchi ya Iran, Marekani na Israel.
Kwa Iran, ujumbe wake upo wazi na umenyoka, kuwa Iran itambue kuwa Syria haitatumika tena kama nchi ya kuendeleza matakwa yake ya kuyajenga makundi ya kigaidi kama Hezbollah.
. “This new triumph, my brothers, marks a new chapter in the history of the region, a history fraught with dangers (that left) Syria as a playground for Iranian ambitions, spreading sectarianism, stirring corruption,” he said.
Lakini kwa upande mwingine alitaka kupeleka ujumbe kwa Marekani ambayo ilikuwa imetenga zawadi ya Dola 10 milioni kwa yeyote atakayesaidia kupatikana kwa yeye Abu Jolani alipokuwa mpiganaji wa Al Qaeda. Ni dhahiri anataka Marekani na Israel imwondoe kwenye orodha ya magaidi wanaotafutwa, kwa vile yeye ni mtu mstaarabu atakayeiongoza Syria kuelekea kwenye ustaarabu.
“Syria is being purified,” he said, referring to the country’s regional reputation as a narco-state, saying Assad’s Syria had “become the world’s leading source of Captagon,”.
Hotuba yake ilifuatiliwa na Rais Biden, ambaye baadaye ameeleza kuwa hotuba hiyo ni nzuri, lakini itabudi kusubiria matendo.
Speaking a few hours later, Biden said he had heard Jolani “saying the right things,” but insisted the rebel leader be judged by his actions.
Siku kadhaa zilizopita, Jolani akihojiwa na CNN alisema kuwa aliamua kujitenga na makundi ya wapiganaji wa Al Qaeda, kwa sababu hakuafiki kabisa matendo yao ya ukatili.
Tumwombee Abu Jolani na wenzake watakaounda Serikali, waipeleke Syria kwenye mwanga na amani. Syria ipo kwenye nafasi nzuri ya kukomesha makundi ya kigaidi ya Iran, kwani Iran haiwezi kuwafikishia silaha makundi ya kigaidi kama Hezbollah nchini Lebanon, bila ya kupitia nchini Syria.
Nimewaza siku naongoza kikundi tunaitoa ccm,afu baadae naimiliki tz kwa muda kama mali yanguWatanzania tunalakujifunza.Ccm inatakiwa itolewe Kwa mtutu maana njia ya amani hawataki
Marekani siyo mwanadamu ni taifaS biblia tenu inasema amtegemeae mwanadamu. Vp tena katekista unasahau amtegemee marekani tena
Muda utaongea. Kwa kumwangalia anaweza kuongoza kipindi cha mpito na kuongoza uchaguzi wa kidemokrasia kweli?Kiongozi mkuu wa Waasi, bwana Abu Jolani ametoa hotuba ambayo imetafsiriwa ililenga zaidi kuuambia Ulimwengu ni nini anakusudia kwa Taifa la Syria. Ameitolea hotuba yake ndani ya msikiti mkuu wa kale zaidi, msikiti wa Ummayad.
Aliichagua CNN kuirusha hotuba yake live, wachunguzi wa mambo wakidai kuwa aliulenga Ulimwengu, hasa nchi ya Iran, Marekani na Israel.
Kwa Iran, ujumbe wake upo wazi na umenyoka, kuwa Iran itambue kuwa Syria haitatumika tena kama nchi ya kuendeleza matakwa yake ya kuyajenga makundi ya kigaidi kama Hezbollah.
. “This new triumph, my brothers, marks a new chapter in the history of the region, a history fraught with dangers (that left) Syria as a playground for Iranian ambitions, spreading sectarianism, stirring corruption,” he said.
Lakini kwa upande mwingine alitaka kupeleka ujumbe kwa Marekani ambayo ilikuwa imetenga zawadi ya Dola 10 milioni kwa yeyote atakayesaidia kupatikana kwa yeye Abu Jolani alipokuwa mpiganaji wa Al Qaeda. Ni dhahiri anataka Marekani na Israel imwondoe kwenye orodha ya magaidi wanaotafutwa, kwa vile yeye ni mtu mstaarabu atakayeiongoza Syria kuelekea kwenye ustaarabu.
“Syria is being purified,” he said, referring to the country’s regional reputation as a narco-state, saying Assad’s Syria had “become the world’s leading source of Captagon,”.
Hotuba yake ilifuatiliwa na Rais Biden, ambaye baadaye ameeleza kuwa hotuba hiyo ni nzuri, lakini itabudi kusubiria matendo.
Speaking a few hours later, Biden said he had heard Jolani “saying the right things,” but insisted the rebel leader be judged by his actions.
Siku kadhaa zilizopita, Jolani akihojiwa na CNN alisema kuwa aliamua kujitenga na makundi ya wapiganaji wa Al Qaeda, kwa sababu hakuafiki kabisa matendo yao ya ukatili.
Tumwombee Abu Jolani na wenzake watakaounda Serikali, waipeleke Syria kwenye mwanga na amani. Syria ipo kwenye nafasi nzuri ya kukomesha makundi ya kigaidi ya Iran, kwani Iran haiwezi kuwafikishia silaha makundi ya kigaidi kama Hezbollah nchini Lebanon, bila ya kupitia nchini Syria.
Amegundua kuwa hao wengine ni hipocrJolan ima achague uislam au achague ukafri
Ndugu zangu waislam tumtenge huyu sio wa Allah
Kwanni atumie CNN ya mayahud na makafiri?
Inshallah
Duuuuuuhh!Nimeipenda.
Mimi huyo bashari asadi nilikuwa namchukia sana kwa sababu alikuwa adui wa waislamu wanaofuata madhehebu ya kissunni.
Ushia wake ndio uliokuwa unamfanya apate saport toka kwa washia wenzake wa Irani.
Mitandao unavyotumia ni ya makafiriiii kaongee misikitiniihuyu