Kiongozi wa Waasi Syria Ahutubia Ulimwengu, Atuma Ujumbe Mahsusi kwa Iran, Atumia CNN, Na Siyo TV za Nchi za Kiarabu

Huyu jamaa ni smart sana, Hautaki Ujihadist muda mrefu tu, Alipotoka Iraq, alikosana na Abu Bakr baada ya kulitenga kundi lake la Al Nusra na ISIS,
Kuna muda ana adopt mambo ya ujihadi ili kuwa please wafuasi wake tu, lakini hayuko huko.
Hongera kuyajua yaliyo moyoni mwa mtu, wengine Tunasubiri matendo na sio maneno.
 
Kiongozi mkuu wa Waasi, bwana Abu Jolani ametoa hotuba ambayo imetafsiriwa ililenga zaidi kuuambia Ulimwengu ni nini anakusudia kwa Taifa la Syria. Ameitolea hotuba yake ndani ya msikiti mkuu wa kale zaidi, msikiti wa Ummayad.

Aliichagua CNN kuirusha hotuba yake live, wachunguzi wa mambo wakidai kuwa aliulenga Ulimwengu, hasa nchi ya Iran, Marekani na Israel.

Kwa Iran, ujumbe wake upo wazi na umenyoka, kuwa Iran itambue kuwa Syria haitatumika tena kama nchi ya kuendeleza matakwa yake ya kuyajenga makundi ya kigaidi kama Hezbollah.

. “This new triumph, my brothers, marks a new chapter in the history of the region, a history fraught with dangers (that left) Syria as a playground for Iranian ambitions, spreading sectarianism, stirring corruption,” he said.

Lakini kwa upande mwingine alitaka kupeleka ujumbe kwa Marekani ambayo ilikuwa imetenga zawadi ya Dola 10 milioni kwa yeyote atakayesaidia kupatikana kwa yeye Abu Jolani alipokuwa mpiganaji wa Al Qaeda. Ni dhahiri anataka Marekani na Israel imwondoe kwenye orodha ya magaidi wanaotafutwa, kwa vile yeye ni mtu mstaarabu atakayeiongoza Syria kuelekea kwenye ustaarabu.

“Syria is being purified,” he said, referring to the country’s regional reputation as a narco-state, saying Assad’s Syria had “become the world’s leading source of Captagon,”.

Hotuba yake ilifuatiliwa na Rais Biden, ambaye baadaye ameeleza kuwa hotuba hiyo ni nzuri, lakini itabudi kusubiria matendo.

Speaking a few hours later, Biden said he had heard Jolani “saying the right things,” but insisted the rebel leader be judged by his actions.

Siku kadhaa zilizopita, Jolani akihojiwa na CNN alisema kuwa aliamua kujitenga na makundi ya wapiganaji wa Al Qaeda, kwa sababu hakuafiki kabisa matendo yao ya ukatili.

Tumwombee Abu Jolani na wenzake watakaounda Serikali, waipeleke Syria kwenye mwanga na amani. Syria ipo kwenye nafasi nzuri ya kukomesha makundi ya kigaidi ya Iran, kwani Iran haiwezi kuwafikishia silaha makundi ya kigaidi kama Hezbollah nchini Lebanon, bila ya kupitia nchini Syria.
Safari yake y kwanza nje ya nchi atakwenda Israel na Jordan
 
Mbona Saudi wanasoma hicho hicho kitabu na still ndiyo marafiki wakubwa wa USA na United Kingdom??
Hujawasoma humu wale waumini kutoka Bongo wanavyowapinga wa Saud? Wanadai wale wasaudia pale ni wahamiaji tu.
 
Muhimu ajue mipaka ya Israel ya kale.. Good job
 
Kwanni atumie CNN ya mayahud na makafiri?
Samahani unajua hata hii Jamii Forum imeanzishwa na kafiri??Unajisikiaje pale unapoitumia??

Instagram, Facebook, Whatsapp, Telegram, X, na Tiktok anamiliki kafiri! Vipi unaweza kujitenga na kafiri???
Wanaoifahamu dunia inapoenda wanafanya hivi:

Vipi hawa marafiki wa Iran siyo makafiri?? Unaweza kujitenga nao?? Wenye akili walifanya hivi:

Cooperation Between China, Iran, North Korea, and Russia: Current and Potential Future Threats to America​

Badilika kwani dunia inaenda kasi sana! Unahisi wewe unakifahamu hicho kitabu kuliko wao??

Wanaishi kwenye uhalisia wa dunia! Kama wewe unavyotukana watu halafu wakati huohuo unatumia vitu vyao!
 
Hahah Hawa watu siwaamini, maana wamepata walichokuwa wanakipigania sasa wanataka Jerusalem. Wakiendelea hivi wataikosa na Syria.
Takibir...Allah Wakbar!
 
Kiongozi mkuu wa Waasi, bwana Abu Jolani ametoa hotuba ambayo imetafsiriwa ililenga zaidi kuuambia Ulimwengu ni nini anakusudia kwa Taifa la Syria. Ameitolea hotuba yake ndani ya msikiti mkuu wa kale zaidi, msikiti wa Ummayad.

Aliichagua CNN kuirusha hotuba yake live, wachunguzi wa mambo wakidai kuwa aliulenga Ulimwengu, hasa nchi ya Iran, Marekani na Israel.

Kwa Iran, ujumbe wake upo wazi na umenyoka, kuwa Iran itambue kuwa Syria haitatumika tena kama nchi ya kuendeleza matakwa yake ya kuyajenga makundi ya kigaidi kama Hezbollah.

. “This new triumph, my brothers, marks a new chapter in the history of the region, a history fraught with dangers (that left) Syria as a playground for Iranian ambitions, spreading sectarianism, stirring corruption,” he said.

Lakini kwa upande mwingine alitaka kupeleka ujumbe kwa Marekani ambayo ilikuwa imetenga zawadi ya Dola 10 milioni kwa yeyote atakayesaidia kupatikana kwa yeye Abu Jolani alipokuwa mpiganaji wa Al Qaeda. Ni dhahiri anataka Marekani na Israel imwondoe kwenye orodha ya magaidi wanaotafutwa, kwa vile yeye ni mtu mstaarabu atakayeiongoza Syria kuelekea kwenye ustaarabu.

“Syria is being purified,” he said, referring to the country’s regional reputation as a narco-state, saying Assad’s Syria had “become the world’s leading source of Captagon,”.

Hotuba yake ilifuatiliwa na Rais Biden, ambaye baadaye ameeleza kuwa hotuba hiyo ni nzuri, lakini itabudi kusubiria matendo.

Speaking a few hours later, Biden said he had heard Jolani “saying the right things,” but insisted the rebel leader be judged by his actions.

Siku kadhaa zilizopita, Jolani akihojiwa na CNN alisema kuwa aliamua kujitenga na makundi ya wapiganaji wa Al Qaeda, kwa sababu hakuafiki kabisa matendo yao ya ukatili.

Tumwombee Abu Jolani na wenzake watakaounda Serikali, waipeleke Syria kwenye mwanga na amani. Syria ipo kwenye nafasi nzuri ya kukomesha makundi ya kigaidi ya Iran, kwani Iran haiwezi kuwafikishia silaha makundi ya kigaidi kama Hezbollah nchini Lebanon, bila ya kupitia nchini Syria.
Kwa Iran, ujumbe wake upo wazi na umenyoka, kuwa Iran itambue kuwa Syria haitatumika tena kama nchi ya kuendeleza matakwa yake ya kuyajenga makundi ya kigaidi kama Hezbollah.📌🔨
 
Lakini kwa upande mwingine alitaka kupeleka ujumbe kwa Marekani ambayo ilikuwa imetenga zawadi ya Dola 10 milioni kwa yeyote atakayesaidia kupatikana kwa yeye Abu Jolani alipokuwa mpiganaji wa Al Qaeda. Ni dhahiri anataka Marekani na Israel imwondoe kwenye orodha ya magaidi wanaotafutwa, kwa vile yeye ni mtu mstaarabu atakayeiongoza Syria kuelekea kwenye ustaarabu.
 
Lakini kwa upande mwingine alitaka kupeleka ujumbe kwa Marekani ambayo ilikuwa imetenga zawadi ya Dola 10 milioni kwa yeyote atakayesaidia kupatikana kwa yeye Abu Jolani alipokuwa mpiganaji wa Al Qaeda. Ni dhahiri anataka Marekani na Israel imwondoe kwenye orodha ya magaidi wanaotafutwa, kwa vile yeye ni mtu mstaarabu atakayeiongoza Syria kuelekea kwenye ustaarabu.
Tafsiri ya mleta mada.
 
Hongera kuyajua yaliyo moyoni mwa mtu, wengine Tunasubiri matendo na sio maneno.
Matendo ndio hayo ameshayaonyesha muda mrefu.

Alilitoa kundi lake ISS na Al qaeda, na amekuwa mwny msimamo wa wastani na juzi alitangaza kuwaaccomodate watu wa imani zote.

Pamoja na US kumwambia he is still terrorist, lakini jamaa anajitahidi kuonyesha kuwa hatakuwa adui yao.
 
Kiongozi mkuu wa Waasi, bwana Abu Jolani ametoa hotuba ambayo imetafsiriwa ililenga zaidi kuuambia Ulimwengu ni nini anakusudia kwa Taifa la Syria. Ameitolea hotuba yake ndani ya msikiti mkuu wa kale zaidi, msikiti wa Ummayad.

Aliichagua CNN kuirusha hotuba yake live, wachunguzi wa mambo wakidai kuwa aliulenga Ulimwengu, hasa nchi ya Iran, Marekani na Israel.

Kwa Iran, ujumbe wake upo wazi na umenyoka, kuwa Iran itambue kuwa Syria haitatumika tena kama nchi ya kuendeleza matakwa yake ya kuyajenga makundi ya kigaidi kama Hezbollah.

. “This new triumph, my brothers, marks a new chapter in the history of the region, a history fraught with dangers (that left) Syria as a playground for Iranian ambitions, spreading sectarianism, stirring corruption,” he said.

Lakini kwa upande mwingine alitaka kupeleka ujumbe kwa Marekani ambayo ilikuwa imetenga zawadi ya Dola 10 milioni kwa yeyote atakayesaidia kupatikana kwa yeye Abu Jolani alipokuwa mpiganaji wa Al Qaeda. Ni dhahiri anataka Marekani na Israel imwondoe kwenye orodha ya magaidi wanaotafutwa, kwa vile yeye ni mtu mstaarabu atakayeiongoza Syria kuelekea kwenye ustaarabu.

“Syria is being purified,” he said, referring to the country’s regional reputation as a narco-state, saying Assad’s Syria had “become the world’s leading source of Captagon,”.

Hotuba yake ilifuatiliwa na Rais Biden, ambaye baadaye ameeleza kuwa hotuba hiyo ni nzuri, lakini itabudi kusubiria matendo.

Speaking a few hours later, Biden said he had heard Jolani “saying the right things,” but insisted the rebel leader be judged by his actions.

Siku kadhaa zilizopita, Jolani akihojiwa na CNN alisema kuwa aliamua kujitenga na makundi ya wapiganaji wa Al Qaeda, kwa sababu hakuafiki kabisa matendo yao ya ukatili.

Tumwombee Abu Jolani na wenzake watakaounda Serikali, waipeleke Syria kwenye mwanga na amani. Syria ipo kwenye nafasi nzuri ya kukomesha makundi ya kigaidi ya Iran, kwani Iran haiwezi kuwafikishia silaha makundi ya kigaidi kama Hezbollah nchini Lebanon, bila ya kupitia nchini Syria.
Nimeipenda.
Mimi huyo bashari asadi nilikuwa namchukia sana kwa sababu alikuwa adui wa waislamu wanaofuata madhehebu ya kissunni.
Ushia wake ndio uliokuwa unamfanya apate saport toka kwa washia wenzake wa Irani.
 
Assad ni allawites
 
Back
Top Bottom