Kiongozi wa waasi wa Syria asema Majeshi ya Urusi yataendelea kusalia nchini humo

Apige Israel Sasa. Mbona Iran alipiga akajibiwa kimyaa mpaka Leo. Na Mrusi apige naye.
Mara ngapi? Mbona alimpa silaha Iran za kumpiga Israel hadi air defense zikawa hazina nguvu. Moreover silaha za hezbollah pia wamepewa na Putin mbona hamuendi kumpiga? Mnajua anaweza ifuta kwenye ramani ya dunia siku hiyo hiyo.
 
Kwa Ukraine mlikuja mbio siku tatu tu Russia ataimaliza. Leo inapanda miaka vita inaendelea
Kwani anapigana na nchi ngapi? NATO nzima ipo pale. Mpaka Israel ipo pale. Ila umeona alivyotumia Oreshnik tu ukraine hao wamarekani wakamkataza asitumie tena long rame missiles ndani ya Russia.

Meaning urusi angeweza maliza vita mapema sema tu anaepuka mass destruction. In fact anaweza tumia nuclear na vita ikaishia hapo
 
Anafyatuliwa? Mbona Assad mlimshindwa.... Urusi na Iran wakiingilia hao Israel watapita wapi? Wanaonea tu vikundi vidogo dogo ila nchi halisi hawawezi ipiga. Mbona walishindwa miaka 10 mpaka siku Russia na Iran zilipokaa pembeni!!
Urusi na Iran zimekaa pembeni au zimepelekewa moto?

Hukuona Urusi ikijaribu kurusha vikombora vyake lakini ikajikatia tamaa?

Irani yeye hakujaribu hata kurusha jiwe maana Israel ilishamlegeza Kuanzia ndani hadi nje kwa akina Hezbollah na Hamas.
.
Kuna mtoto mwingine anachezea wembe yuko pale Yemen, subiri waende wakamnyoe bila maji
 
Mara ngapi? Mbona alimpa silaha Iran za kumpiga Israel hadi air defense zikawa hazina nguvu. Moreover silaha za hezbollah pia wamepewa na Putin mbona hamuendi kumpiga? Mnajua anaweza ifuta kwenye ramani ya dunia siku hiyo hiyo.
Putin huyu huyu anaepumulia mashine pale Ukrain?

Vita ni akili, na wenye akili wanampukuchua Putin kidogo kidogo hadi ataisha.
 
Anapumulia kivipi wakati ameteka maeneo mengi mwaka huu kuliko miaka yoyote ile? Mind you anapambana na nchi sio chini ya 10
 
Urusi na Iran zimekaa pembeni au zimepelekewa moto?

Hukuona Urusi ikijaribu kurusha vikombora vyake lakini ikajikatia tamaa?

Irani yeye hakujaribu hata kurusha jiwe maana Israel ilishamlegeza Kuanzia ndani hadi nje kwa akina Hezbollah na Hamas.
.
Kuna mtoto mwingine anachezea wembe yuko pale Yemen, subiri waende wakamnyoe bila maji
Ukifuatilia yote hayo ni makundi tu madogo ila nchi ni moja tu hapo (Iran) ndio uone trend ya Israel ni kupambana na makundi tu sio majeshi ya nchi maana sio match yake. Mfano Russia ndio inampa makombora Iran na Hezbollah lakini Israel haina ubavu wa kulipua kambi za Russia huko Syria maana inajua ndio itafutwa kwenye ramabi. Huwa nasema hapa siku zote siku Israel ikivuka mstari na kuanza chockochoko dhidi ya Russia ndio itakua mwisho wake.
 
Acha utoto, Israel walipiga bomu ubalozi ambao kimsingi ni ardhi ya Iran kwahiyo ndio wakalipiza kwa makombora yale 200 na wao Israel ndio walioanzisha kulipuana kwahiyo usiseme eti Israel walilipiza sema wao ndio walianzisha ugomvi Iran akalipiza.

Msipende sympathy card
Baada ya Irani kutusha Yale 20 Israel akajibu usikurupuke utachekwa humu jukwaani Kama ufatilii mambo Kaa kimya.
 
Mara ngapi? Mbona alimpa silaha Iran za kumpiga Israel hadi air defense zikawa hazina nguvu. Moreover silaha za hezbollah pia wamepewa na Putin mbona hamuendi kumpiga? Mnajua anaweza ifuta kwenye ramani ya dunia siku hiyo hiyo.
Huyo Bwana wenu Putin hata wazo la kupiga Israel ataki hata limjie. Kama Iran anavyofanya kwa hamas hizibolah na vikundi vingine badala apigane anasadia vikundi tu.
 
Kwani anapigana na nchi ngapi? NATO nzima ipo pale. Mpaka Israel ipo pale. Ila umeona alivyotumia Oreshnik tu ukraine hao wamarekani wakamkataza asitumie tena long rame missiles ndani ya Russia.

Meaning urusi angeweza maliza vita mapema sema tu anaepuka mass destruction. In fact anaweza tumia nuclear na vita ikaishia hapo
We ndiyo maana nakwambia kuhusu hivi vita umekurupuka tu. Alisema anaweza kutumia nyukilia na mfaranca akamjibu Putin Kama una uchizi hata sisi tunao tumia tutumie alafu hii dunia tujimalize. Kimya mpaka leo.saa hizi anasaidiwa Hadi askali na kiduku
 
Back
Top Bottom