Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuuliza swali rahisi sana. Je HIMARS, Patriot na wenzake wengi tu wanatengenezwa nchi gani vile kija wa LGBTQ?Urusi haina ubavu wa kusimama vita na mataifa 30 hata Marekani na nguvu zake hawezi kusimama vita na mataifa 30 hiyo vita tungeona ndege za fighter jet za NATO na makombora ya masafa marefu yakirushwa hadi Moscow msiwe mnaropoka mkiwa kwenye vijiwe vya kahawa mkaona wote ni wakudanganywa kihivyo
Bakhmut si walisema wanasusa wanaondoka ikawaje........... Jamaa propaganda zake anazijua mwenyewe,,,,,,, anawapa vichwa mkiingia mkenge wanawabutua
Jirani yako akimkaribisha mtu nyumbani kwake kwa maslahi yake hata kama wewe ni adui yako kwa anayekaribishwa kinachokuuma wewe ni nini? na hata kama wewe utanuna sana sana utamfata na kumshauri aachane naye maana wewe humpendi otherwise huna mamlaka ya kupigana naye au kumpiga vita na kujaribu kumnyanganya nyumba yakeUkreni nitofauti Sana yaani mtu anakuletea siraha umchokoze jirani yako, aki react tuna mchangia . Kosa la ukreni ni kumkarbisha adui wa Mrusi uwanjani i kwake akiwa na mawe na mapanga .Ukweli usemwe hizo zote nichokochoko za usa
UnaotaAmepata pakutokea, sasa amekimbia mapigano baada ya kujitangazia ushindi huku vita vikiendelea.
EU ipi iliyopo vitani?Hivi EU ipo na nchi ngapi?
Je, ukiunganisha na G7 na NATO?
Hivi ulishawahi kusoma hesabu za SETS?
Hii story umeiokota wapi? Ndiyo story mnazopiga huko vibarazani wakati sisi tukiwa ndani tunasoma magazeti?Ukreni nitofauti Sana yaani mtu anakuletea siraha umchokoze jirani yako, aki react tuna mchangia . Kosa la ukreni ni kumkarbisha adui wa Mrusi uwanjani i kwake akiwa na mawe na mapanga .Ukweli usemwe hizo zote nichokochoko za usa
Yako wapi!Mdogo wangu kila siku nakuambia vita ni ghiliba, juzi kawaingiza mkenge pale Bakhmut, ukaleta porojo nyingi sana, nikakwambia tafuta kitabu cha Tsu Nzu The Art of War ukisome, ujue vita inavyopangwa, na kupiganwa.
Urusi ikakomba mji kilaini, endelea kuleta viuzi vyako vya kikekike hapa, tutakuita na utajificha kama kundu la mbwa aliufyata