Kiongozi wa Wagner aponda jeshi la Urusi na kusifia la Ukraine, atahadharisha mapinduzi

Kwa CIA hilo haliweki akilini kabisa ila wale wajinga wasiojua ujasusi na sanaa yake, ikiwemo KUSEMA UONGO.
Kumbuka NATO amepigana na mercenaries a.k.a K.k security na kushindwa.
Tia akili
 
Nimekuuliza swali rahisi sana. Je HIMARS, Patriot na wenzake wengi tu wanatengenezwa nchi gani vile kija wa LGBTQ?
 
Bakhmut si walisema wanasusa wanaondoka ikawaje........... Jamaa propaganda zake anazijua mwenyewe,,,,,,, anawapa vichwa mkiingia mkenge wanawabutua

Niliwaambia huyo jamaa anatafuta pakutokea, ona sasa amekimbia mapigano baada ya kujitangazia ushindi huku vita vikiendelea.
 
Ukreni nitofauti Sana yaani mtu anakuletea siraha umchokoze jirani yako, aki react tuna mchangia . Kosa la ukreni ni kumkarbisha adui wa Mrusi uwanjani i kwake akiwa na mawe na mapanga .Ukweli usemwe hizo zote nichokochoko za usa
Jirani yako akimkaribisha mtu nyumbani kwake kwa maslahi yake hata kama wewe ni adui yako kwa anayekaribishwa kinachokuuma wewe ni nini? na hata kama wewe utanuna sana sana utamfata na kumshauri aachane naye maana wewe humpendi otherwise huna mamlaka ya kupigana naye au kumpiga vita na kujaribu kumnyanganya nyumba yake
 
Ukreni nitofauti Sana yaani mtu anakuletea siraha umchokoze jirani yako, aki react tuna mchangia . Kosa la ukreni ni kumkarbisha adui wa Mrusi uwanjani i kwake akiwa na mawe na mapanga .Ukweli usemwe hizo zote nichokochoko za usa
Hii story umeiokota wapi? Ndiyo story mnazopiga huko vibarazani wakati sisi tukiwa ndani tunasoma magazeti?
 
Yako wapi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…