Kiongozi wa wajasiriamali Magufuli bus terminal safarini Chato kwa baiskeli ili kumuenzi hayati JPM kwa msaada wake kwa wajasiriamali wadogo

Kwani unapoambiwa uwezi kuendesha gari adi Mali au Nigeria unadhani unaenda kwa siku moja? suala la kupiga pedal na kushugulisha misuli unajua madhara yake kama hukuwahi kufanyw hivyo kabla?
kuna watu wamewahi tokea Dar hadi Butiama kwa baiskel,hao mbona haukuumia kiasi hicho...anyway akienda wewe unapungukiwa nini?
 
Hawa Sukuma Gang sijui hawaamini kama nchi ina rahisi ....maana bado kuna vi element vya kusaka cheap popularity ...sijui kiongozi wao ni nani
Kuna butwaa Fulani.Hata kule jumba jeupe ni kama bado hawaamini

Hata zile posters za tunatekeleza,mtekelezaji,matokeo chanya sizioni

Nasubiri kwa hamu waanze kutoa posters za matangazo ya sgr yenye picha ya mama
 
Kuna butwaa Fulani.Hata kule jumba jeupe ni kama bado hawaamini

Hata zile posters za tunatekeleza,mtekelezaji,matokeo chanya sizioni

Nasubiri kwa hamu waanze kutoa posters za matangazo ya sgr yenye picha ya mama
Hassan Abbas ni kama kapigwa gazi ...TUNATEKELEZA na MATOKEO CHANYA imekufa rasmi ..
 
Mganga njaa... Niwaagize wakuu wa mikoa na wilaya ambapo mhusika amesema atapitia kusaini daftar la maombolezo wasimpe hata mia..nafikiri akifika kahama bila kupata chochote akili itamkaa sawa na ataomba nauli ya kurudi alikotoka!
 
Anadhani Dar-Chato ni sawa na Rombo - Himo.
 
Awe monitored,asije akadandia lift njiani

Ova
 
Akifika manyoni atadandia fuso mpaka shinyanga
 

usiwaamini hawa wakifika mbele wanakwea V8
 
Ukiwa tu kwenye gari unachoka kwa umbali wa safari sasa huyu na Phoenix yake atakua anashuka milimani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…