Rahisi ndiyo nani?Hawa Sukuma Gang sijui hawaamini kama nchi ina rahisi ....maana bado kuna vi element vya kusaka cheap popularity ...sijui kiongozi wao ni nani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rahisi ndiyo nani?Hawa Sukuma Gang sijui hawaamini kama nchi ina rahisi ....maana bado kuna vi element vya kusaka cheap popularity ...sijui kiongozi wao ni nani
kuna watu wamewahi tokea Dar hadi Butiama kwa baiskel,hao mbona haukuumia kiasi hicho...anyway akienda wewe unapungukiwa nini?Kwani unapoambiwa uwezi kuendesha gari adi Mali au Nigeria unadhani unaenda kwa siku moja? suala la kupiga pedal na kushugulisha misuli unajua madhara yake kama hukuwahi kufanyw hivyo kabla?
Kuna butwaa Fulani.Hata kule jumba jeupe ni kama bado hawaaminiHawa Sukuma Gang sijui hawaamini kama nchi ina rahisi ....maana bado kuna vi element vya kusaka cheap popularity ...sijui kiongozi wao ni nani
Hassan Abbas ni kama kapigwa gazi ...TUNATEKELEZA na MATOKEO CHANYA imekufa rasmi ..Kuna butwaa Fulani.Hata kule jumba jeupe ni kama bado hawaamini
Hata zile posters za tunatekeleza,mtekelezaji,matokeo chanya sizioni
Nasubiri kwa hamu waanze kutoa posters za matangazo ya sgr yenye picha ya mama
Hana kazi mwehu huyu.Ameamua kuendesha baiskeli toka Dar mpaka Chato. Huu ni uzalendo wa kweli.View attachment 1742029
Umeanza lini kumtukana baba yako?MATAGA kazini
Kumbe kuendesha baiskeli ni uzalendo siku hizi?Ameamua kuendesha baiskeli toka Dar mpaka Chato. Huu ni uzalendo wa kweli.View attachment 1742029
Namtukana tena MATAGAUmeanza lini kumtukana baba yako?
Hawa ndio Wazalendo wanaohitajika nchi hii. John Shayo usisahau kupitia Mwanza nikuchinjie mbuzi!!!Ameamua kuendesha baiskeli toka Dar mpaka Chato. Huu ni uzalendo wa kweli.View attachment 1742029
Wachaga Mungu ametujalia ubunifu Wa kutafuta hela,hapo makampuni yanayojipendekeza kwa ccm yatajitokeza kufadhili.Ameamua kuendesha baiskeli toka Dar mpaka Chato. Huu ni uzalendo wa kweli.View attachment 1742029
MPE na satoHawa ndio Wazalendo wanaohitajika nchi hii. John Shayo usisahau kupitia Mwanza nikuchinjie mbuzi!!!
Hizo haziahidiwa. Kwa mgeni kutoka Dar ndio cha kwanza kupewa!!!MPE na sato
Watu wanajitafutia kifo tu...mtu hana mazoezi wala hawajapata vipimo vya kitabibu kama wanaweza kusafiri kwa baskeli kwa umbali mrefu kiasi hicho.
Sisi tulitoa taadhari kwa jamaa aliekua anaruka kwenye majengo marefu akijidai alianzia Ndanda...japo Ndanda hapakua ba majengo marefu.
Kwa ujinga wa viongozi wetu wala hawatachukua taadhari ya kuwakinga wananchi hawa kwa ajili ya kupata sifa.
Walifurika uwanja wa Uhuru siku ya kuaga mwendazake na watu wakafa ila taadhari haikuchukuliwa.
Ndugu wa hao wajasiriamali washaurini wapate kibali cha kitabibu kama wanaweza kuendelea na hiyo zoezi.