Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Tulisikia kwa masikio yetu na macho yetu akikiri wazi kuwa hayati JPM alikuwa ana kiburi na alikuwa hashauriki. Na alifanya nae kazi kwa ugumu sana. Hii ina maanisha kuwa alipata wakati mgumu kuwa nae.
Ila akiwa huko Ghana akipewa tuzo amekiri kuwa hiyo tuzo aliyopewa hakustahili kuipata maana aliyestahili ni hayati JPM kwa kazi nzuri aliyoifanya kwa taifa lake.
Ina maana alimnanga hayati JPM mabeberu ili akubalike kwa manufaa yake binafsi huku akijua alikuwa jembe?
Huku Afrika anajikosha ili iweje?
Aina hii ya viongozi ni wa kutilia mashaka.