Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Kamsifia anapostahili ,alipoharibu alipondwaTulisikia kwa masikio yetu na macho yetu akikiri wazi kuwa hayati JPM alikuwa ana kiburi na alikuwa hashauriki. Na alifanya nae kazi kwa ugumu sana. Hii ina maanisha kuwa alipata wakati mgumu kuwa nae...
Yote aliyosema ni kweli. Ni kweli SSH alifanya kazi kwa ugumu sana na JPM. Kumbuka kuna kipindi SSH akiwa Makamu alitaka kujiuzulu lakini ikaonekana consequences zitakuwa kubwa ikabidi SSH aendelee naye.Tulisikia kwa masikio yetu na macho yetu akikiri wazi kuwa hayati JPM alikuwa ana kiburi na alikuwa hashauriki. Na alifanya nae kazi kwa ugumu sana. Hii ina maanisha kuwa alipata wakati mgumu kuwa nae...
Tuzo aliyopewa inahusiana na mambo gani yaliyofanyika hapa nchini? Tukielewa dhima ya hiyo tuzo tutajua kwanini Rais SSH alitoa kauli hiyo huko Ghana.Tulisikia kwa masikio yetu na macho yetu akikiri wazi kuwa hayati JPM alikuwa ana kiburi na alikuwa hashauriki. Na alifanya nae kazi kwa ugumu sana. Hii ina maanisha kuwa alipata wakati mgumu kuwa nae...
Huna unalolijua, Katiba ipi inasema Makamu wa Rais akijiuzulu kunafanyika uchaguzi mpya? Inaonekana wakati taifa linampoteza Dr Ali Juma ulikuwa haujazaliwa.Yote aliyosema ni kweli. Ni kweli SSH alifanya kazi kwa ugumu sana na JPM. Kumbuka kuna kipindi SSH akiwa Makamu alitaka kujiuzulu lakini ikaonekana consequences zitakuwa kubwa (uchaguzi kurudiwa) ikabidi SSH aendelee naye.
Ni kweli pia JPM ndiye anayestahili tuzo hiyo sababu ni yeye JPM ndiye aliyekuwepo na kusimamia miundombinu mingi kama Daraja la Kijazi, Mfugale, SGR, Stigler bwawa. To my opinion SSH ameongea ukweli na wala hajajipendekeza popote.
Ccm hakuna muadilifu, wote ni majizi na wanalindana kwa gharama zote hasa hasa awamu hii.tuzo aliyopewa ni ya makufuli yeye kapokea kwa niaba tu. cha ajabu tv zetu zina sema kupokea kwa tuzo hiyo ya makufuli yeye pia alishiriki kufanikisha mafanikio hayo kwa sababu alikuwa makamu wa rais. kama ni hivyo tv zetu ziseme wazi kashfa anayopewa makufuli na kina zito na nape na mkaguzi wa mahesabu kwa makufuli na mama naye anashiriki kwa kashfa hiyo. sio kwenye tuzo mama yupo pamoja na jpm kwenye kashfa ni makufuli pekee hii ni dhambi kubwa sana
All in all hata kama nimekosea kuhusu uchaguzi kurudiwa ukweli unabaki palepale. Kwa taarifa yako wakati Omar anafariki nilikuwa nina umri more than 30 years. Ukweli ni kuwa SSH alipata ugumu sana kufanya kazi na JPM na ni kweli JPM alistahili hiyo tuzo. Lete jingine.Huna unalolijua, Katiba ipi inasema Makamu wa Rais akijiuzulu kunafanyika uchaguzi mpya? Inaonekana wakati taifa linampoteza Dr Ali Juma ulikuwa haujazaliwa.
anasema kweli sio mnafiki,pa kumsifu anamsifu,pa kumkisoa anamkosoaTulisikia kwa masikio yetu na macho yetu akikiri wazi kuwa hayati JPM alikuwa ana kiburi na alikuwa hashauriki. Na alifanya nae kazi kwa ugumu sana. Hii ina maanisha kuwa alipata wakati mgumu kuwa nae...
Wanampinga SSH wanaonekana wengi n CCM vipi 2025Yote aliyosema ni kweli. Ni kweli SSH alifanya kazi kwa ugumu sana na JPM. Kumbuka kuna kipindi SSH akiwa Makamu alitaka kujiuzulu lakini ikaonekana consequences zitakuwa kubwa ikabidi SSH aendelee naye...
Ni lini alitaka kujiuzulu? ….au ndo sababu ya kumwondoa yule.!Yote aliyosema ni kweli. Ni kweli SSH alifanya kazi kwa ugumu sana na JPM. Kumbuka kuna kipindi SSH akiwa Makamu alitaka kujiuzulu lakini ikaonekana consequences zitakuwa kubwa ikabidi SSH aendelee naye.
Ni kweli pia JPM ndiye anayestahili tuzo hiyo sababu ni yeye JPM ndiye aliyekuwepo na kusimamia miundombinu mingi kama Daraja la Kijazi, Mfugale, SGR, Stigler bwawa. To my opinion SSH ameongea ukweli na wala hajajipendekeza popote.
Wengi wanajua ukweli JPM alichofanya Tanzania, alikuwa Kama role model wa Africa, hawezi kumunanga mbele ya sanamu ya kwame nkuruma, atamunanga mbele ya mabeberu waiba rasilimali zetu hili apate kamusaada.Tulisikia kwa masikio yetu na macho yetu akikiri wazi kuwa hayati JPM alikuwa ana kiburi na alikuwa hashauriki. Na alifanya nae kazi kwa ugumu sana. Hii ina maanisha kuwa alipata wakati mgumu kuwa nae.
Ila akiwa huko Ghana akipewa tuzo amekiri kuwa hiyo tuzo aliyopewa hakustahili kuipata maana aliyestahili ni hayati JPM kwa kazi nzuri aliyoifanya kwa taifa lake.
Ina maana alimnanga hayati JPM mabeberu ili akubalike kwa manufaa yake binafsi huku akijua alikuwa jembe?
Huku Afrika anajikosha ili iweje?
Aina hii ya viongozi ni wa kutilia mashaka.