Kiongozi wetu akiwa na Marais wenzake wa Afrika anamsifia hayati Magufuli ila akiwa na mabeberu anamnanga na kumponda

penye ukweli unafki hujitenga
 
Samia mnafiki, halafu mjinga.

And I don't even like Magufuli.
 
Aliwahi kukuambia kuwa anataka kujiuzulu?
 
Mkuu ni katiba ipi hiyo ya kufanya uchaguzi mpya makamo wa Rais akijiuzulu?
 
Still Magufuli remains to be a mediocre leader, we had him as our president by sheer accident. Without devine intervention our lovely Tanzania would have plunged to economic crisis. The ruthless dictator wasn't open to advise
 
Weka video ya Mama kumnanga mwenda zako.. kama hauna we ni Mzushi tu tembeeeeeea
 
Huku Afrika kumejaa viongozi wengi washenzi kama dhalimu, hivyo inabidi awaambie wanachotaka kusikia. Akiwa kwa wazungu ni lazima aseme ukweli maana wale hawa muda wa kuendekeza uongo.
 
Huku Afrika kumejaa viongozi wengi washenzi kama dhalimu, hivyo inabidi awaambie wanachotaka kusikia. Akiwa kwa wazungu ni lazima aseme ukweli maana wale hawa muda wa kuendekeza uongo.
Hawa wazungu waliomuua mzakendo Patrice Lumumba sio waongo? Habari ya ushenzi unauzua wewe kwa chuki zako.
 
Hawa wazungu waliomuua mzakendo Patrice Lumumba sio waongo? Habari ya ushenzi unauzua wewe kwa chuki zako.

Kwani viongozi wa kiafrika ikiwemo dhalimu wameua waafrika wenzao wangapi, mpaka uone hatari Lumumba kuuliwa na wazungu?
 
Huna unalolijua, Katiba ipi inasema Makamu wa Rais akijiuzulu kunafanyika uchaguzi mpya? Inaonekana wakati taifa linampoteza Dr Ali Juma ulikuwa haujazaliwa.
Naona amefuta hapo kwenye mabano [emoji23][emoji23][emoji23] (hiyo ya uchaguzi kurudiwa)... Shikamoo internet [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Una chuki sana na Rais Samia,utakufa bure Kwa kihoro Magufuli amekufa na hatafufuka, wacha maisha yasonge mbele
 
Still Magufuli remains to be a mediocre leader, we had him as our president by sheer accident. Without devine intervention our lovely Tanzania would have plunged to economic crisis. The ruthless dictator wasn't open to advise
Ashukuriwe Mungu kulifuta hili dubwana kwenye uso wa dunia
 
Kama wewe peke yako ukimtilia mashaka na kutomuhamini bado mamia ya watanzania wanamkubali kwa kile anachokifanya ..VIVA SAMIA..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…