Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Weee kwa hiyo afisa utumishi akitoka manispaa anaingia kitaa kutanda mbao ...si mchezoSerikali iliruhusu wafanyakazi wa serikali wajitafutie kipato Nje ya mshahara wao kwa kufanya Biashara ambayo Haina conflict of interest na kazinyake nadhani. Ndiyo maana Hata Waziri Mkuu alisema, watu waende VETA lengo wawe multipurpose katika kupata kipato kutoka vyanzo mbali mbali!
Biashara mtandaoni...!Weee kwa hiyo afisa utumishi akitoka manispaa anaingia kitaa kutanda mbao ...si mchezo