kibori nangai
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 1,430
- 2,130
Huyo kwenye picha kama Muenezi Mwenyezi.Hello wajamvi
Mko salama kabisa. Nimeitoa mahali. Tuchambue hotuba za viongozi wetu. Leo ni yupi huwa akitoa hotuba anakuwa na tija?
Mimi huyuu Waziri wa Habari na Teknolojia nawazagaa sana.
Karibuni sema wakoo
View attachment 2883109
2. LissuKiongozi wa duniani au huku TZ pekee....
1. TZ: Mbowe
Hupaswi kumuacha Mbowe kwenye listLema
Sugu
Msigwa
Heche
Lisu
Samia, Dotto Biteko na January Makamba