TheGodfather95
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 1,763
- 1,830
Hizi simu bana Bora uchukue zako Infinix au Samsung, Nimeinunua miezi 6 iliyopita. Lakini shida iianza Jana inawaka Lakini mwanga unakuwa hafifu saaana, Mwisho kabisa ikazima jumla mwanzo nilijua itakua na shida ya taa ya KIOO, Lakini sasahivi imezima kabisa haionyeshi kitu, lakini unasikia mashine inaunguruma ukiweka chaji n.k
Hizi ndio bei za vioo Google Pixel
GOOGLE PIXEL VIOO
PIXEL 3 155,000
PIXEL 3A 170,000
PIXEL 4 4G 370,000
PIXEL 4A 5G 330,000
PIXEL 4XL 300,000
PIXEL 6A 400,000
PIXEL 6PRO
Hizo ni bei za vioo gharama ya ufundi ni 10,000 Tsh 0714036595 karibu mkuu[emoji1666]