ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
1 kama kusingekua na kioo ungejitambuaje ?Duh.... swali la nyongeza!!! kama kusingekuwa na kioo, tungejitambuaje kwamba hii ni sura yangu? .....
Mimi hua sikiamini sana kioo, maana wakati mwingine naweza kujitazama nikaonekana ni handsome sana....
Sometime kinaonesha vibaya hadi unaanza kujiona hufai mbele za watu....
Halafu huyo aliyesema unaandika sana... Kama hawezi kusoma apite kando....
umeshawahi kukuta duka lina mdada au mkaka mkali? Halafu ukikumbuka ulivyojitazama kwenye kioo unahisi unapelea kabisa1 kama kusingekua na kioo ungejitambuaje ?
Si ndio maana watu wakaumiza vicwa
Wakafanya uvumbuzi
2.kuna siku hua unajiona mbaya hufai mbele za watu ?
Umenigusa sana, hata mimi kioo sikiamini 100%Duh.... swali la nyongeza!!! kama kusingekuwa na kioo, tungejitambuaje kwamba hii ni sura yangu? .....
Mimi hua sikiamini sana kioo, maana wakati mwingine naweza kujitazama nikaonekana ni handsome sana....
Sometime kinaonesha vibaya hadi unaanza kujiona hufai mbele za watu....
Mirror πͺ
Hello Great thinkers π
Kwanza naomba niweke sawa hapa
Kuna mtu aliniuliza kwanini unaandika sana JF ?
Sielewi hapendezwi au lah(?)
Akauliza π
Huna kazi?: me nina kazi βοΈ
Unalipwa?: Silipwi βοΈ
NB:Writing is one of my hobbies βοΈπ§
Nitakua busy sana lakini siwezi kabisa kukosa muda wa kuandika
Imebidi niseme hapa kwa wale pia wanaojiuliza
Licha ya kua nashangazwa na mtu ku judge jambo binafsi kama hili
Kwenye mada π
Nimesoma mtandaoni kuhusu uvumbuzi wa kioo lakini nimeshindwa kupata taarifa sahihi ya nani hasa aliyegundua kioo.
Kwa mujibu wa mtandaoni nimeona kwamba kioo kiligunduliwa miaka 8000 iliyopita huko Anatolia, Uturuki.
Then kuna watu wengine waliokuja kuboresha zaidi namna ya kutengeneza kioo mpaka tukafika kwenye vioo tunavyotumia leo
So historia ya kioo ipo hivyo...
Sasa nikajiangalia kwenye kioo changu, nikaona taswira kwenye kioo kilichopo mbele yangu
Chemsha Bongo: π€
π
Nikajiuliza, ikiwa hicho nilichokiona kwenye kioo ni kitu gani hasa?
Mimi ni huyo wa kwenye kioo?
Au mimi ni huyu niliye mbele ya kioo?
Kama ninachoona kwenye kioo ni taswira yangu hiki kioo napaswa kukiamini kwa asilimia ngapi kwamba kinatoa taswira yangu sahihi?
Hivi umewahi kujiangalia kwenye vioo tofauti na ukapata taswira tofauti?
Kuna kioo unaangalia unaona umeonekana hivi ukiangalia kingine unaona tofauti kabisaπ
Hii imekaaja au ni wenge ?
Kama hua unaona taswira tofauti kwenye vioo tofauti sasa ni kioo gani kinatoa taswira yako halisi?
Na mwisho...
Huwa unapata feeling gani ukijiangalia kwenye kioo? π
Meπ
Nikijiangalia kwenye kioo hua najisikia raha sana mara nyingi naishia kutabasamu baada ya kuona
Inayodhaniwa kua ni taswira yangu mwenyewe π€π€
ShesRise_1 βοΈ
Alisema linatumika kama lango la wachawi kufanya yao...kwa nini?
Kuna ile unapita kwenye gari pembeni... ukijitazama unaonekana tunyenye kweli....Kuna wakati ukichukua Vioo viwili ukijitazama kimoja unaonekana mnene kingine unaonekana mwembamba.
Unaonekana Bonge haswa.Kuna ile unapita kwenye gari pembeni... ukijitazama unaonekana tunyenye kweli....
Pole sana hua unajiona una sura personal π’πumeshawahi kukuta duka lina mdada au mkaka mkali? Halafu ukikumbuka ulivyojitazama kwenye kioo unahisi unapelea kabisa
Kwanini hukiamini π― mkuu?Umenigusa sana, hata mimi kioo sikiamini 100%
π Hii si wenge, ni swali zuri tu la kutafakari.Mirror πͺ
Hello Great thinkers π
Kwanza naomba niweke sawa hapa
Kuna mtu aliniuliza kwanini unaandika sana JF ?
Sielewi hapendezwi au lah(?)
Akauliza π
Huna kazi?: me nina kazi βοΈ
Unalipwa?: Silipwi βοΈ
NB:Writing is one of my hobbies βοΈπ§
Nitakua busy sana lakini siwezi kabisa kukosa muda wa kuandika
Imebidi niseme hapa kwa wale pia wanaojiuliza
Licha ya kua nashangazwa na mtu ku judge jambo binafsi kama hili
Kwenye mada π
Nimesoma mtandaoni kuhusu uvumbuzi wa kioo lakini nimeshindwa kupata taarifa sahihi ya nani hasa aliyegundua kioo.
Kwa mujibu wa mtandaoni nimeona kwamba kioo kiligunduliwa miaka 8000 iliyopita huko Anatolia, Uturuki.
Then kuna watu wengine waliokuja kuboresha zaidi namna ya kutengeneza kioo mpaka tukafika kwenye vioo tunavyotumia leo
So historia ya kioo ipo hivyo...
Sasa nikajiangalia kwenye kioo changu, nikaona taswira kwenye kioo kilichopo mbele yangu
Chemsha Bongo: π€
π
Nikajiuliza, ikiwa hicho nilichokiona kwenye kioo ni kitu gani hasa?
Mimi ni huyo wa kwenye kioo?
Au mimi ni huyu niliye mbele ya kioo?
Kama ninachoona kwenye kioo ni taswira yangu hiki kioo napaswa kukiamini kwa asilimia ngapi kwamba kinatoa taswira yangu sahihi?
Hivi umewahi kujiangalia kwenye vioo tofauti na ukapata taswira tofauti?
Kuna kioo unaangalia unaona umeonekana hivi ukiangalia kingine unaona tofauti kabisaπ
Hii imekaaja au ni wenge ?
Kama hua unaona taswira tofauti kwenye vioo tofauti sasa ni kioo gani kinatoa taswira yako halisi?
Na mwisho...
Huwa unapata feeling gani ukijiangalia kwenye kioo? π
Meπ
Nikijiangalia kwenye kioo hua najisikia raha sana mara nyingi naishia kutabasamu baada ya kuona
Inayodhaniwa kua ni taswira yangu mwenyewe π€π€
ShesRise_1 βοΈ
Kioo chenyewe ukikiona ni vituko.... mpaka ujitazame kwa kujizoom!Pole sana hua unajiona una sura personal
Au kioo chako kina uongo uongo mwingi