Kioo kinatuonyesha ukweli kwa kiasi gani?

Hahahahahaaa ......dah ukisubiri watu wakambie mkuu, utapata stress za bure....
 
Wow πŸ‘Œ
Kuna raha kwa kweli kucheza huku unakisogelea kioo

Sema watu tukiwa wenyewe tuna ujinga mwingi watu wanakuheshimu vizuri tu kumbe ukiwa naked mbele ya kioo unafanya ujingaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Kuna watu mnaujasiri sanaπŸ‘πŸ‘πŸ™Œ

But am sure no men can do this.
 
Asante kwa maoni mjarabu πŸ”₯
Umenyoosha twin πŸ‘Œ
Sasa nimeamua kioo changu ni wewe hapo πŸ€ͺ
 
Sijazungumzia kioo kwa kujiona mbaya au mzuri
Ila je hiyo taswira yako unayoiona kwenye kioo unaamini kwa kiasi gani kama ni wewe halisi ?

Hata mie nimezungumzia hapo hapo kwenye kuamini nachoona ndiyo maana nimetolea mfano wa glass ya maji

Sijazungumzia uzuri ama ubaya
 
Aisee pole sana mkuu
So umepoteza ujasiri wa kujiangalia ?

Hivi kuna uchawi wa kioo au ni fix?
 
Masoud Surambaya why Masudiii?
Hivi wanaume nao hua mnasifiana uzuri?
 
So umepoteza ujasiri wa kujiangalia ?
Hapana sijapoteza ujasiri.

Nilikua sipendi kujiangalia lakini kutokana na hilo ndio nikapata sababu ya kutokujiangalia.

Hivi kuna uchawi wa kioo au ni fix?
Hakuna UCHAWI wa kioo ila wanaofanya UCHAWI wanaweza kutumia kioo. Based on hearsays na kile nilichokiona kwangu.
 
Kioo huwa kinadanganya ubongo!!
Mf : hufanya mtu ajione mzuri mara Tano zaidi ya alivyo ili kubust confidence

Kwahyo ulivyo kwenye kioo toa mara Tano ya sura yako ndo ulivyo in reality, ukiongeza make up kwa (Ke) toa mara kumi ndo watu tunavokuona
Hivyo vipimo vyako ni kwa mjibu wa utafiti?
 
Hapana sijapoteza ujasiri.

Nilikua sipendi kujiangalia lakini kutokana na hilo ndio nikapata sababu ya kutokujiangalia.


Hakuna UCHAWI wa kioo ila wanaofanya UCHAWI wanaweza kutumia kioo. Based on hearsays na kile nilichokiona kwangu.
So unaamini uchawi unaweza kutumika na kioo?
Nini kilitokea ?
Unaweza ku share?
 
Mimi nakuona huandiki tu ila una kitu fulani cha pekee sana katika uandishi wako. Ni uandishi wenye kufikirisha sana na akili kubwa ya reasoning ndo inaweza kuyaona unayoyaandika.
Shukran sana mkuu 😊
Karibu ndani ya mada

Unakiamini kioo chako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…