Una miaka mingp mkuu?Mirror πͺ
Hello Great thinkers π
Kwanza naomba niweke sawa hapa
Kuna mtu aliniuliza kwanini unaandika sana JF ?
Sielewi hapendezwi au lah(?)
Akauliza π
Huna kazi?: me nina kazi βοΈ
Unalipwa?: Silipwi βοΈ
NB:Writing is one of my hobbies βοΈπ§
Nitakua busy sana lakini siwezi kabisa kukosa muda wa kuandika
Imebidi niseme hapa kwa wale pia wanaojiuliza
Licha ya kua nashangazwa na mtu ku judge jambo binafsi kama hili
Kwenye mada π
Nimesoma mtandaoni kuhusu uvumbuzi wa kioo lakini nimeshindwa kupata taarifa sahihi ya nani hasa aliyegundua kioo.
Kwa mujibu wa mtandaoni nimeona kwamba kioo kiligunduliwa miaka 8000 iliyopita huko Anatolia, Uturuki.
Then kuna watu wengine waliokuja kuboresha zaidi namna ya kutengeneza kioo mpaka tukafika kwenye vioo tunavyotumia leo
So historia ya kioo ipo hivyo...
Sasa nikajiangalia kwenye kioo changu, nikaona taswira kwenye kioo kilichopo mbele yangu
Chemsha Bongo: π€
π
Nikajiuliza, ikiwa hicho nilichokiona kwenye kioo ni kitu gani hasa?
Mimi ni huyo wa kwenye kioo?
Au mimi ni huyu niliye mbele ya kioo?
Kama ninachoona kwenye kioo ni taswira yangu hiki kioo napaswa kukiamini kwa asilimia ngapi kwamba kinatoa taswira yangu sahihi?
Hivi umewahi kujiangalia kwenye vioo tofauti na ukapata taswira tofauti?
Kuna kioo unaangalia unaona umeonekana hivi ukiangalia kingine unaona tofauti kabisaπ
Hii imekaaja au ni wenge ?
Kama hua unaona taswira tofauti kwenye vioo tofauti sasa ni kioo gani kinatoa taswira yako halisi?
Na mwisho...
Huwa unapata feeling gani ukijiangalia kwenye kioo? π
Meπ
Nikijiangalia kwenye kioo hua najisikia raha sana mara nyingi naishia kutabasamu baada ya kuona
Inayodhaniwa kua ni taswira yangu mwenyewe π€π€
ShesRise_1 βοΈ
55+ π πUna miaka mingp mkuu?
Ukiwa over 55 + kioo unakichukia sn...
Sometimes unaona kama ninataka sifa sasa,,
Nikama unachokiona sio wewe
Uliposema unapenda kioo nikajuwa upo below 30..55+ π π
Hata 30 sijafika mkuu
Kwanini ukiwa over 55 unachukia sana kioo ?
Mikunjo ya uso au nini imebidi nicheke π
1 kwanza nimekumiss sana π₯ΉAndika tu mwaya unapeperusha bendera ya waandishi wa kike. I canβt even think something to write about ππ»ββοΈπ
1 kwanza nimekumiss sana π₯Ή
How are you babesπ€
Sahihi kabisa.2 Nitaandika sana labda nipigwe βοΈ
Na enjoy kuandika na kujadili na watu
Naweza kumaliza siku sijakanyaga Ig maana hakuna vya kusoma wala kuandika
Naomba leo niwe msomaji, watu ametiririkaaa wamewezaje kuyajua hayo mambo π€£ Like where yall reading from?3 changia mada babe sis π
Usiondoke hivi hivi
Nitafanya hivo, siku notice hata. Cheers π₯Ya mwisho sijui nilifanyaje kule nikakuta nime dissappear please nafungua come booπ₯Ή
Asante mkuu.
Naweza kuja kukufanyia massage maa π€Missing you more kamamaa π₯° Naendelea vizuri ila nimechoka sana nipo tu hapa sababu napenda mno kuwa JF.
Wewe na twin mkisema naweza je kupata shaka π€ͺSahihi kabisa.
Watu humu wanajua mambo ukisoma mtu unaweza kujiona head potato π πNaomba leo niwe msomaji, watu ametiririkaaa wamewezaje kuyajua hayo mambo π€£ Like where yall reading from?
Fanya mama ni tie πNitafanya hivo, siku notice hata. Cheers π₯
Tutakuponza, Inabidi tuache kukusifia ili ukaze zaidi π€£Naweza kuja kukufanyia massage maa π€
Wewe na twin mkisema naweza je kupata shaka π€ͺ
Watu humu wanajua mambo ukisoma mtu unaweza kujiona head potato π π
Fanya mama ni tie π
Cheers π₯π₯
Ngoja waje mamy ila si bi mzurii lazima ujiangalie bana πNa tunaopenda kioo kupitiliza mmesema tuna matatizo gani vile? Genuine question.
Huyu mtu mpya huyuMi nimefunga kioo kikubwa usawa wa kitanda, nilikuwa naongea na mtu βmpyaβ nikamwambia nipo najiangalia kwenye kioo, akajibu nitakusaidia upunguze kupenda kioo, i was like what? unisaidie kwani ni tatizo? Akapotezea hiyo mada
Aaaah π’π’ mbona nimekaza tena kama hivi πͺTutakuponza, Inabidi tuache kukusifia ili ukaze zaidi π€£
Sijaona sababu ya msingi ya kuhamisha Uzi kuupeleka Chit-Chat at least wangeupeleka kwenye Hoja mchanganyiko.Najiuliza sipati picha
Sikugundua haraka kama uzi umehamishiwa huku nimeona sasa hivi
Najiuliza huyu Moderator
Alieweka huu uzi Chit-chat
Ametumia kigezo gani?
Naomba nielimishwe
Karibu.Narudi hapa!
Ajabu sana lolSijaona sababu ya msingi ya kuhamisha Uzi kuupeleka Chit-Chat at least wangeupeleka kwenye Hoja mchanganyiko.
Mods wanashida zao Leo.
Mkuu natamani kukuaminiNdio, UCHAWI unaweza kutumika na kioo.
Kwasababu kioo ni reflection ya nguvu unazozitoa, hivyo yule anaeonekana kwenye kioo ndio wewe.
Kwanini UCHAWI utumike kwenye kioo?
Inategemea na huyo anaefanya UCHAWI anataka nini kutoka kwako, ila kwa nilivyosikia wengi hufanya hivyo ili kupata nguvu ya mvuto au muonekano.
Hivyo mchawi hukupatia zawadi ya kioo ili kuvuna hiyo nguvu kutoka kwako.
Pia waganga hutumia kioo kufanya ramli ambapo humwambia mtu akae mbele ya kioo na kupitia reflection ya hicho kioo huweza kupredict your past and your future. (Sijajua hutumia mechanism Gani lakini hii nilisikia kwa mtu ambaye amekwenda kwa mganga na akafanyiwa hivyo)
Jamaa aliyenipa kile kioo alikua anafanya mambo ya upromoter, udalali na ukuadi wa wale video vixen sijui.
So alinipa kile kioo kwaajili ya kunyoosha mambo yake.
What happened ni kwamba nilikua sipendi kufanya kazi/biashara hata kwenda chuo pia na muda mwingi nilikua natumia kujiangalia kwenye kile kioo.
Untill siku nimeenda church ndio nikaombewa pia Bi mkubwa home aliniotea ndoto mbaya akanipigia simu kuniuliza chumbani kwako kuna Nini?
Nikamtajia vitu vyote akaniambia hicho kioo kitoe pia akaniuliza ulikipata wapi? Nikamjibu Kuna jamaa alikileta kwangu hapo hapo akaniambia tena kipasue.
Also kile kioo kilikua Cha maajabu maana kilifungwa jirani na mlango wa washroom, usiku nikiamka kwenda washroom nilikua naona kinang'aa sana japo taa nimezima. Sikutiliaga maanani sana kwasababu sijawahi kuwa na kioo hapo kabla so kimawazo nikawa nahisi vioo vyote vipo hivyo.
At the end nilikuja kujua kwamba ile nyumba asilimia 60+ ya wapangaji ni washirikina tena ni vijana kabisa. Yaani kuanzia muuza mgahawa alikua anatulisha uchafuπ‘π‘π‘.
Pia mmoja alikua ni mganga wa kienyeji, huyu alikua anawaagulia wasaniiπππ.
Nyumba ipo Mbezi beach Goig, barabara ya kwenda Baraza la mitihani, nyumba ya tatu kutoka Bagamoyo road.
Hii nikitulia nitaangalia
Siwezi kumnyanyasa mwanamke niliyemchagua mwenyewe kwamba ndiye bora kuliko wengine mkuu.Nimesoma koote nimekwama hapo
Kwa mke wako anakuambia unatumia uzuri kumdharau!
Hivi ni kweli unafanya hivyo?
Hongera sana kwa watu kutwangana makonde kwa ajili yako