KIPA KATOKA AU VIPI??

kwahiyo wale jamaa wa shilawadu makipa wao wametoka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
tulieni nyie msiojua maneno kwanza wote mlioponda ilo neno mmedamshi alaf pia hamuwezi toka ma jumbani kwenu bila kudamshi pia hata mkitembea pia mnadamshi sio ivo tu hata kuongea kwenu mnadamshi kama vyote yani
 
kupitia hii thread nimegundua pia hata wanaotumia hili neno "damshi" hawajui maana yake bali wanafata tu mkumbo
 
kwaio mbna km sijaelewa na mliotoa mifano mnatumia ayo maneno?? πŸ€”
 
maana yake nn kwani
kupitia rejea ya moja ya wafanyakazi wenzangu wa jinsia "ke" neno damshi maana yake ni kupendeza kwa (mdangaji) kwa lengo la kumpa matamanio kingono anayekutazama (potential danga). Hili jibu nililipata baada ya kudadisi maana ya neno husika mara baada ya kusikia akimsifia mwenzake, nanukuu "Shosti leo umedamshi, ....... hachomoki leo, lazima umle kichwa." mwisho wa kunukuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…