impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,764
- 7,758
Kipa ndio nini tena?Labda kipa katoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipa ndio nini tena?Labda kipa katoka
Hahaahaahaa.Duh, Na hili pia maana yake nini? Haya maneno yenu kwa kweli wawaachie nyie.
Asante sana mdada, ila najua ni neno la kike hiliKudamshi ni kama kutokelezea
Lina maana gani hili neno?Kudamshi limekaa kidada sana
Na ile 'Tyu'Kudamshi
Jomoni
Kwemaa
Halohalooo
Nahukuuuu
Maneno haya yananyong'onyesha sana
ongeza na "kama yote"Kudamshi
Jomoni
Kwemaa
Halohalooo
Nahukuuuu
Maneno haya yananyong'onyesha sana
aaah wapo kibao tu wa aina hyoUnakuta msela kakuomba vocha umemtumia anakukibu " Meipata "
😀😀😀😀kwahiyo wale jamaa wa shilawadu makipa wao wametoka 😂😂😂😂
makipa walishatoka zamanikwahiyo wale jamaa wa shilawadu makipa wao wametoka 😂😂😂😂
goli lipo waziii daaaaah washapoteza mechi kumbe wale jamaamakipa walishatoka zamani
maana yake ni nn kwani??kupitia hii thread nimegundua pia hata wanaotumia hili neno "damshi" hawajui maana yake bali wanafata tu mkumbo
maana yake nn kwanikupitia hii thread nimegundua pia hata wanaotumia hili neno "damshi" hawajui maana yake bali wanafata tu mkumbo
kupitia rejea ya moja ya wafanyakazi wenzangu wa jinsia "ke" neno damshi maana yake ni kupendeza kwa (mdangaji) kwa lengo la kumpa matamanio kingono anayekutazama (potential danga). Hili jibu nililipata baada ya kudadisi maana ya neno husika mara baada ya kusikia akimsifia mwenzake, nanukuu "Shosti leo umedamshi, ....... hachomoki leo, lazima umle kichwa." mwisho wa kunukuu.maana yake nn kwani
goli lipo wazi mkuu hata beki anafungana 'kipa katoka' maana ake nini ?