Kauza goli la moko au yote? Makolokolo bana.Nimeangalia yake magoli yote aliyofungwa KMC nimejirishisha pasi na shaka kwamba kipa kwa KMC kauza mechi.
Usibishe angalia tena na tena hasa goli la kwanza...
Ungempa milioni nane ili asiuze ...alipewa milioni 4
Mbona golikipa wenu Manula ameshafungwa magoli mengi ya aina ile lakini hamsemi!!Goli la Kwanza mpira ulimbabatiza ila la pili ni la kipumbavu halafu anashindwa kupanga beki
MANURA aliuza mechi kw MAUYA na MAYELE.Nimeangalia yake magoli yote aliyofungwa KMC nimejirishisha pasi na shaka kwamba kipa kwa KMC kauza mechi.
Usibishe angalia tena na tena hasa goli la kwanza...